First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Hahahaha ntakicheki bina. Huyo mama ana mikwara kama ya mama mkwe wake maudodo?
Aisee ehee kama una muda asubuhi ni.marudio yake saa 3 au 4 tegeshea uone utaniambiaa
Aisee ntacheki bina
Yaani mtu analazimishwa halafu anaambiwa please, please!Actually mimi nilikataa kwa style ile, mwisho wa siku wakaja na maboyfriend zao wakawa wananilazimisha please please just do it just do it bana picha tu...
Heaven Sent
Binamu hua unaangalia kile kipind cha maigizo cha wachina kimetafsiriwa kiswahili kinachorushwa TBC
Mama yake miya hunivunja mbavu