mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mkongo tu 2*8 moja ni 80000/Ukiw unajua bei za mbao mbona unaelewa tu
Faid yake sio kubwa kwenye ufundi, mbao ngumu kama mkongo na mninga bei sana. .
Mninga haipishani sana
Sasa hapo kama unatengeneza kitanda au mlango,Meza unafikiri zinaingia mbao ngapi
Hapo kna kuranda hadi finishing
Lbda umpate fundi mzuri unaweza kuokoa hela kdg....ila mambo ya wood work ni garama sanaa
Ova