Kila jambo lina mda
Ndo mana wengi wananuniua vitanda vya chuma wanajiona wajanja sana
Kiuhalisia vitanda vya mbao ngumu bei sana
Kuna duka keko furniture, bei zake mawe sana. Bidhaa zao zina ubora wanauza ulaya bongo wananunua vitu vingi ubora mdogo. Mtu anayenunua kabati la nguo la kichina hawezi elewa kabati la mninga lina ubora gani. .