Meza ya kulia chakula inapendeza jikoni au kwenye mgahawa

Meza ya kulia chakula inapendeza jikoni au kwenye mgahawa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1640184004276.png

1640184084442.png

Meza ya kulia jikoni inafaa kwa matumizi ya familia ya kila siku, kama nyumba ni kubwa main dining inaweza kutumika kama watu ni wengi au kuna special event.
 
Hivyo kwa ajili ya watoto wa kikorea uko...sisi wengine watoto wetu watundu na wananguvu, hako ka kiti utakakuta nje anakaburuza kama gari
Watoto unawafundisha kuwa meza ni kulia tu, pia unawanunulia ma toy
 
Back
Top Bottom