Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 22, 2021 #1 Meza ya kulia jikoni inafaa kwa matumizi ya familia ya kila siku, kama nyumba ni kubwa main dining inaweza kutumika kama watu ni wengi au kuna special event.
Meza ya kulia jikoni inafaa kwa matumizi ya familia ya kila siku, kama nyumba ni kubwa main dining inaweza kutumika kama watu ni wengi au kuna special event.
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Dec 22, 2021 #2 Mbona haina chakula
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,010 Reaction score 7,360 Dec 22, 2021 #3 Nzuri sana...hii hapo ukipata fundi mzuri akainakshi kidogo
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 22, 2021 Thread starter #4
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Dec 22, 2021 #5 Sisi wengine tunaolia ukoko kitandani je?
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,710 Reaction score 76,243 Dec 22, 2021 #6 Nzuri sana, ingependeza ungeweka na bei!
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Dec 22, 2021 #7 Hivyo kwa ajili ya watoto wa kikorea uko...sisi wengine watoto wetu watundu na wananguvu, hako ka kiti utakakuta nje anakaburuza kama gari
Hivyo kwa ajili ya watoto wa kikorea uko...sisi wengine watoto wetu watundu na wananguvu, hako ka kiti utakakuta nje anakaburuza kama gari
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 22, 2021 Thread starter #8 Uzalendo Installer said: Hivyo kwa ajili ya watoto wa kikorea uko...sisi wengine watoto wetu watundu na wananguvu, hako ka kiti utakakuta nje anakaburuza kama gari Click to expand... Watoto unawafundisha kuwa meza ni kulia tu, pia unawanunulia ma toy
Uzalendo Installer said: Hivyo kwa ajili ya watoto wa kikorea uko...sisi wengine watoto wetu watundu na wananguvu, hako ka kiti utakakuta nje anakaburuza kama gari Click to expand... Watoto unawafundisha kuwa meza ni kulia tu, pia unawanunulia ma toy