Meza ya ping pong a.k.a table tennis

Meza ya ping pong a.k.a table tennis

muchetz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
947
Reaction score
737
Mwenye kujua wapi naweza pata meza (na vifaa vinginie pia) vya mchezo huo hapa Dar tafadhali saidia.
Kama utweza pata na bei pia itakuwa vizuri zaidi.

Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom