Mezani fc

Mezani fc

greater G

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
308
Reaction score
216
MEZANI FC Watinga ofisi za FIFA
_________________________________________

FIFA: Eeh umefuata nini huku
MEZANI FC: Point zangu tatu za Kagera Sugar

FIFA: Kwani ilikuwaje uzifuate huku
MEZANI: Nilifungwa halafu TFF wakawapa Kagera point zangu

FIFA: Huko kwenu mtu akifungwa point tatu anapeawa nani?:
MEZANI: Aliyeshinda

FIFA: Jamani eeeeh . . . . niitieni Daktari wa vichaa kuna kichaaa kapotea njia hapa . . .

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Haaaaaaaaah aaaah ahhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa mkali simba akikanyaga hapa niite

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
2083cef5934c4fed002dbcf6e2e1bd7f.jpg
 
Back
Top Bottom