Mfadhaiko

Mfadhaiko

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
9,245
Reaction score
18,347
habari za mda huu..
Nahisi nmepata mfadhaiko
1.nina hofu iliozidi
2. najisikia kizungu zungu mno
3.. uchovu mwingi mda wote
4. sina hamu ya kula,japo najisikia njaa
5. mdomo unakauka muda wote
6. mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kwa sababu nashituka shutuka mara kwa mara
7. tumbo limejaa tu

kikubwa nina hofu sana, na mawazo mengi.
JE NIFANYE NINI ILI NIWE KAWAIDA ,MAANA HALI INANIKOSESHA AMANI NA NDIO INAZIDI KUONGEZEKA..

imeanza tangu juzi , mpaka sasa sina raha
 
Jaribu Kuchagua Mpango Mpya wa uzazi!!

Pia wasiliana na dokta yoyote anayeweza kuichoropoa bila maumivu!!
 
una presha ya kupanda juu.ndio maana unakuwa na hofu tele na wasiwasi pia ndio maana unapata kizungu zungu

NB: USIPENDE KUKAA MWENYEWE MUDA WOTE,JARIBU KUWA NA WATU WA KUONGEA NAO KILA MARA ITAKUSAIDIA KUTOA MSONGO WA MAWAZO NA PRESHA KUWA JUU,USIPENDE KULALA KITANDANI MUDA WOTE
 
na hizo ndo tabia zangu
kukaa alone..
mawazo mengi
nikimaliza kufanya kazi ni kulala..
au humu jf
sina marafiki [emoji24]
 
na hizo ndo tabia zangu
kukaa alone..
mawazo mengi
nikimaliza kufanya kazi ni kulala..
au humu jf
sina marafiki [emoji24]
Ili usolve tatzo lako ndio inabidi ufuate kama nilivyokueleza my jaribu kuwa na marafiki wa kuwa nao muda wote itakusaidia au tumia njia nyingine mbadala kama utashndwa hapo
 
Pia jiamini kwa kiwango kikubwa popote ulipo, .. penda kujifariji kwa kila jambo ufanyalo jana ulipita hapa nikafurahia mwonekano wako chakushangaza leo naona unatupia uzi huuuuuu!!! Nimesikitika sana nikajua kuwa Kimble sio mimi tu kiasi kwanba nimejifariji kupitia uzi wako.. kwisho usijisabishie presha uko guda Sana karbia dunia nzima kwawatu ambao wako fiti,aman,upendo,ucheshi nipamoja nawewe
 
Jichanganye na watu, usikae ki peke yako peke yako... tembelea maneno mazuri mazuri uone vitu vizuri na kusuuza ubongo na roho yako...
nitajitahidi sana
japo sina uwezo labda nitembee tembee..
japomiguu inauma maana sina nguvu sana
nikitembea kidogo moyo unadunda dunda hatari
 
habari za mda huu..
Nahisi nmepata mfadhaiko
1.nina hofu iliozidi
2. najisikia kizungu zungu mno
3.. uchovu mwingi mda wote
4. sina hamu ya kula,japo najisikia njaa
5. mdomo unakauka muda wote
6. mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kwa sababu nashituka shutuka mara kwa mara
7. tumbo limejaa tu

kikubwa nina hofu sana, na mawazo mengi.
JE NIFANYE NINI ILI NIWE KAWAIDA ,MAANA HALI INANIKOSESHA AMANI NA NDIO INAZIDI KUONGEZEKA..

imeanza tangu juzi , mpaka sasa sina raha
Vipi mkuu ushacheck niya miezi mingapi[emoji86] [emoji86]
 
Pia jiamini kwa kiwango kikubwa popote ulipo, .. penda kujifariji kwa kila jambo ufanyalo jana ulipita hapa nikafurahia mwonekano wako chakushangaza leo naona unatupia uzi huuuuuu!!! Nimesikitika sana nikajua kuwa Kimble sio mimi tu kiasi kwanba nimejifariji kupitia uzi wako.. kwisho usijisabishie presha uko guda Sana karbia dunia nzima kwawatu ambao wako fiti,aman,upendo,ucheshi nipamoja nawewe
najitahidi ndio maana najitahidi kuchangia mada tofauti tofauti ..
ili kurelax
asante kwa kujali..
hivo kazi yangu ni nikishtuka moyo kulala maana najiskia kizungu zungu naweza kuanguka[emoji24].
 
pole...sana ila sorry kwa ushauri ufuatao...kama huna mpenzi tafuta pengine hisia zimezidi hadi zinakutuma uhivyo...kama kuna alie kukosea muite muyasuruhishe...
 
Back
Top Bottom