princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
na hizo ndo tabia zanguuna presha ya kupanda juu.ndio maana unakuwa na hofu tele na wasiwasi pia ndio maana unapata kizungu zungu
NB: USIPENDE KUKAA MWENYEWE MUDA WOTE,JARIBU KUWA NA WATU WA KUONGEA NAO KILA MARA ITAKUSAIDIA KUTOA MSONGO WA MAWAZO NA PRESHA KUWA JUU,USIPENDE KULALA KITANDANI MUDA WOTE
[emoji23][emoji23]acha masiharaJaribu Kuchagua Mpango Mpya wa uzazi!!
Pia wasiliana na dokta yoyote anayeweza kuichoropoa bila maumivu!!
Ili usolve tatzo lako ndio inabidi ufuate kama nilivyokueleza my jaribu kuwa na marafiki wa kuwa nao muda wote itakusaidia au tumia njia nyingine mbadala kama utashndwa hapona hizo ndo tabia zangu
kukaa alone..
mawazo mengi
nikimaliza kufanya kazi ni kulala..
au humu jf
sina marafiki [emoji24]
nitajitahidi sanaIli usolve tatzo lako ndio inabidi ufuate kama nilivyokueleza my jaribu kuwa na marafiki wa kuwa nao muda wote itakusaidia au tumia njia nyingine mbadala kama utashndwa hapo
nmepimaushapima mimba? upo wapi tuwe marafiki?
nitajitahidi sanaJichanganye na watu, usikae ki peke yako peke yako... tembelea maneno mazuri mazuri uone vitu vizuri na kusuuza ubongo na roho yako...
najitahidi kurelaxPunguza mawazo, relax. jaribu kufanya kitu kinacho kufurahisha itasaidia.
Vipi mkuu ushacheck niya miezi mingapi[emoji86] [emoji86]habari za mda huu..
Nahisi nmepata mfadhaiko
1.nina hofu iliozidi
2. najisikia kizungu zungu mno
3.. uchovu mwingi mda wote
4. sina hamu ya kula,japo najisikia njaa
5. mdomo unakauka muda wote
6. mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kwa sababu nashituka shutuka mara kwa mara
7. tumbo limejaa tu
kikubwa nina hofu sana, na mawazo mengi.
JE NIFANYE NINI ILI NIWE KAWAIDA ,MAANA HALI INANIKOSESHA AMANI NA NDIO INAZIDI KUONGEZEKA..
imeanza tangu juzi , mpaka sasa sina raha
najitahidi ndio maana najitahidi kuchangia mada tofauti tofauti ..Pia jiamini kwa kiwango kikubwa popote ulipo, .. penda kujifariji kwa kila jambo ufanyalo jana ulipita hapa nikafurahia mwonekano wako chakushangaza leo naona unatupia uzi huuuuuu!!! Nimesikitika sana nikajua kuwa Kimble sio mimi tu kiasi kwanba nimejifariji kupitia uzi wako.. kwisho usijisabishie presha uko guda Sana karbia dunia nzima kwawatu ambao wako fiti,aman,upendo,ucheshi nipamoja nawewe
Ebu ni pm namba zako niwe nakufurahisha hata mimi ni kama wewena hizo ndo tabia zangu
kukaa alone..
mawazo mengi
nikimaliza kufanya kazi ni kulala..
au humu jf
sina marafiki [emoji24]
Mchuchu wako anaijua hiyo hari yako ili ajaribu kuwa karibu na wewe inaweza ikasaidia?nitajitahidi sana
japo sina uwezo labda nitembee tembee..
japomiguu inauma maana sina nguvu sana
nikitembea kidogo moyo unadunda dunda hatari
okey well donenitajitahidi sana