princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
-
- #21
anajua sasa tangu juzi nalazimisha tukae wote..Mchuchu wako anaijua hiyo hari yako ili ajaribu kuwa karibu na wewe inaweza ikasaidia?
yes, wakati mwingine nahisi ni saikolojia yangupole...sana ila sorry kwa ushauri ufuatao...kama huna mpenzi tafuta pengine hisia zimezidi hadi zinakutuma uhivyo...kama kuna alie kukosea muite muyasuruhishe...
pole sana nahisi muda mwingine unakuwa kama unahisi kifua kizito...au kunafundo kwenye koo kama linataka kutoka au linakukaba vile....na muda mwingine unahisi kama akili imevurugika vile...inawezekana pia kupata usingizi ni kwatabu ama hupati kabisa...nakushauri ujifunze mambo mapya kama kuna jambo liliwahi kukutokea katika maisha yako lisilo la kawaida ni muda sasa wa kulisahahu na kulifuta....najua ni vigumu ila cheza na akili yako iambie akili ifute kila kibaya kinachokusumbua...jifunze kuogelea kwa maana maji ni tiba...unapouingiza mwili kwenye maji ni sawa na kupooza mashine iliyopata moto...mrudie MUNGU kwa imani yako sali na toa sana sadaka uku ukimuomba MUNGU akuponye tatizo linalokukabili...sikiliza sana muziki, jipe rikizo nenda kijijini au sehemu tofauti na hapo nyumbani...ila usinywe pombe kwani itaharibu kabisa...na kama kuna kitu ulitegemea kiwe hakikuwa kama ulivyo panga nakuomba rafiki yangu kubari matokea...muda mwingine kuna kupata na kukosa...kuweza na kushindwa..kukataliwa na kukubariwa, kaa ukijua kuwa kuna siku mbaya ila kamwe siku mbaya haiwezi kufanya maisha yako kuwa mabaya...NAMUOMBA MUNGU WANGU AKURUDISHE KATIKA HALI NZURI ULIYOKUWA NAYO MWANZO, UWE NA FURAHA KAMA SISI, UPENDWE NA KUKUBARIKA...MAFANIKIO YAMIMINIKE KWAKO KAMA MAJI YANAVYOMIMINIKA KWENYE BOMBA....AMEENyes, wakati mwingine nahisi ni saikolojia yangu
japo niko ok na kila mtu..
sema ninayafanyia kazi haya
Emen.pole sana nahisi muda mwingine unakuwa kama unahisi kifua kizito...au kunafundo kwenye koo kama linataka kutoka au linakukaba vile....na muda mwingine unahisi kama akili imevurugika vile...inawezekana pia kupata usingizi ni kwatabu ama hupati kabisa...nakushauri ujifunze mambo mapya kama kuna jambo liliwahi kukutokea katika maisha yako lisilo la kawaida ni muda sasa wa kulisahahu na kulifuta....najua ni vigumu ila cheza na akili yako iambie akili ifute kila kibaya kinachokusumbua...jifunze kuogelea kwa maana maji ni tiba...unapouingiza mwili kwenye maji ni sawa na kupooza mashine iliyopata moto...mrudie MUNGU kwa imani yako sali na toa sana sadaka uku ukimuomba MUNGU akuponye tatizo linalokukabili...sikiliza sana muziki, jipe rikizo nenda kijijini au sehemu tofauti na hapo nyumbani...ila usinywe pombe kwani itaharibu kabisa...na kama kuna kitu ulitegemea kiwe hakikuwa kama ulivyo panga nakuomba rafiki yangu kubari matokea...muda mwingine kuna kupata na kukosa...kuweza na kushindwa..kukataliwa na kukubariwa, kaa ukijua kuwa kuna siku mbaya ila kamwe siku mbaya haiwezi kufanya maisha yako kuwa mabaya...NAMUOMBA MUNGU WANGU AKURUDISHE KATIKA HALI NZURI ULIYOKUWA NAYO MWANZO, UWE NA FURAHA KAMA SISI, UPENDWE NA KUKUBARIKA...MAFANIKIO YAMIMINIKE KWAKO KAMA MAJI YANAVYOMIMINIKA KWENYE BOMBA....AMEEN
POLE MAMA ANGU...ILA VIPI KUHUSU HITORIA YAKO YA NYUMA...ILIKUWA NZURI AU MBAYA?Emen.
mimi sinywi pombe..
ila kuna wakati naonaga kichwa kizito nahisi kuchanganyikiwa
halafu mimi ni mtu mwenye hofu sana na mwoga..
hii tabia nikiacha nahisi ntakua ok
kuogelea sijui[emoji85]
yapo mazuri na mabaya pia mengi tu..POLE MAMA ANGU...ILA VIPI KUHUSU HITORIA YAKO YA NYUMA...ILIKUWA NZURI AU MBAYA?
POLE...UNAJUA ata mimi kipindi nakuwa nilikutana na matatizo mengi mno...pengine nililelewa na mzazi mmoja...niliona mengi mno yaliyonitia uchungu lakini...niliamua kuyasahau...nikayafuta...mwanzo ilikuwa vigumu sana kwani nilikuwa sipendi ata kujumuika na marafiki...lakini nikajiona mjinga...nikatafuta marafiki...nikahudhuria semina za mambo mbali mbali...nikahudhuria matamasha ya michezo...nikajifunza kuogelea japo nilikuwa siwezi at the end nikajikuta sina tena hofu...hofu ni ugonjwa mbaya sana wa akili..yapo mazuri na mabaya pia mengi tu..
hasa mabaya
asante sana kwa kujali..POLE...UNAJUA ata mimi kipindi nakuwa nilikutana na matatizo mengi mno...pengine nililelewa na mzazi mmoja...niliona mengi mno yaliyonitia uchungu lakini...niliamua kuyasahau...nikayafuta...mwanzo ilikuwa vigumu sana kwani nilikuwa sipendi ata kujumuika na marafiki...lakini nikajiona mjinga...nikatafuta marafiki...nikahudhuria semina za mambo mbali mbali...nikahudhuria matamasha ya michezo...nikajifunza kuogelea japo nilikuwa siwezi at the end nikajikuta sina tena hofu...hofu ni ugonjwa mbaya sana wa akili..
unaweza ukasoma hapa
Mfadhaiko, namna ya kukabiliana na hasira na akili sumbufu
au hapa Dawa za mfadhaiko
hapo kuna baadhi ya vitu unaweza ukajifunza
vile vile nimekuambatanishia vitabu hivyo hapo vitakusaidia...
habari za mda huu..
Nahisi nmepata mfadhaiko
1.nina hofu iliozidi
2. najisikia kizungu zungu mno
3.. uchovu mwingi mda wote
4. sina hamu ya kula,japo najisikia njaa
5. mdomo unakauka muda wote
6. mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kwa sababu nashituka shutuka mara kwa mara
7. tumbo limejaa tu
kikubwa nina hofu sana, na mawazo mengi.
JE NIFANYE NINI ILI NIWE KAWAIDA ,MAANA HALI INANIKOSESHA AMANI NA NDIO INAZIDI KUONGEZEKA..
imeanza tangu juzi , mpaka sasa sina raha
USIJARI....ni kipindi tuu cha mpito..nadhani muda si mrefu...utapata furaha yako...asante sana kwa kujali..
Mwenyezi Mungu akubariki..
nikiwa ok nitakuambia..
ngja nisome hayo maelezo
Mkuu, hali hiyo ikikurudia.. dawa yake piga glass mbili za juice ya ndimu.."lemonade" utajisike byien !!asante sana kwa kujali..
Mwenyezi Mungu akubariki..
nikiwa ok nitakuambia..
ngja nisome hayo maelezo
ntajitahidiMkuu, hali hiyo ikikurudia.. dawa yake piga glass mbili za juice ya ndimu.."lemonade" utajisike byien !!