Mfadhaiko

Mfadhaiko

Mchuchu wako anaijua hiyo hari yako ili ajaribu kuwa karibu na wewe inaweza ikasaidia?
anajua sasa tangu juzi nalazimisha tukae wote..
na mazingira hayaruhusu..
so nakaaga nae kwa muda

kwahyo leo kasema nijitahidi kutulia..
basi ndo najitahidi
sasa tatizo nashindwa kufuta mawazo ,maana nakua kama memory iliojaa sana ma file
sasa inabidi ku erase..
hapo ndipo nashindwa sasa
 
pole...sana ila sorry kwa ushauri ufuatao...kama huna mpenzi tafuta pengine hisia zimezidi hadi zinakutuma uhivyo...kama kuna alie kukosea muite muyasuruhishe...
yes, wakati mwingine nahisi ni saikolojia yangu
japo niko ok na kila mtu..
sema ninayafanyia kazi haya
 
yes, wakati mwingine nahisi ni saikolojia yangu
japo niko ok na kila mtu..
sema ninayafanyia kazi haya
pole sana nahisi muda mwingine unakuwa kama unahisi kifua kizito...au kunafundo kwenye koo kama linataka kutoka au linakukaba vile....na muda mwingine unahisi kama akili imevurugika vile...inawezekana pia kupata usingizi ni kwatabu ama hupati kabisa...nakushauri ujifunze mambo mapya kama kuna jambo liliwahi kukutokea katika maisha yako lisilo la kawaida ni muda sasa wa kulisahahu na kulifuta....najua ni vigumu ila cheza na akili yako iambie akili ifute kila kibaya kinachokusumbua...jifunze kuogelea kwa maana maji ni tiba...unapouingiza mwili kwenye maji ni sawa na kupooza mashine iliyopata moto...mrudie MUNGU kwa imani yako sali na toa sana sadaka uku ukimuomba MUNGU akuponye tatizo linalokukabili...sikiliza sana muziki, jipe rikizo nenda kijijini au sehemu tofauti na hapo nyumbani...ila usinywe pombe kwani itaharibu kabisa...na kama kuna kitu ulitegemea kiwe hakikuwa kama ulivyo panga nakuomba rafiki yangu kubari matokea...muda mwingine kuna kupata na kukosa...kuweza na kushindwa..kukataliwa na kukubariwa, kaa ukijua kuwa kuna siku mbaya ila kamwe siku mbaya haiwezi kufanya maisha yako kuwa mabaya...NAMUOMBA MUNGU WANGU AKURUDISHE KATIKA HALI NZURI ULIYOKUWA NAYO MWANZO, UWE NA FURAHA KAMA SISI, UPENDWE NA KUKUBARIKA...MAFANIKIO YAMIMINIKE KWAKO KAMA MAJI YANAVYOMIMINIKA KWENYE BOMBA....AMEEN
 
Emen.
mimi sinywi pombe..
ila kuna wakati naonaga kichwa kizito nahisi kuchanganyikiwa
halafu mimi ni mtu mwenye hofu sana na mwoga..
hii tabia nikiacha nahisi ntakua ok
kuogelea sijui[emoji85]
 
Emen.
mimi sinywi pombe..
ila kuna wakati naonaga kichwa kizito nahisi kuchanganyikiwa
halafu mimi ni mtu mwenye hofu sana na mwoga..
hii tabia nikiacha nahisi ntakua ok
kuogelea sijui[emoji85]
POLE MAMA ANGU...ILA VIPI KUHUSU HITORIA YAKO YA NYUMA...ILIKUWA NZURI AU MBAYA?
 
yapo mazuri na mabaya pia mengi tu..
hasa mabaya
POLE...UNAJUA ata mimi kipindi nakuwa nilikutana na matatizo mengi mno...pengine nililelewa na mzazi mmoja...niliona mengi mno yaliyonitia uchungu lakini...niliamua kuyasahau...nikayafuta...mwanzo ilikuwa vigumu sana kwani nilikuwa sipendi ata kujumuika na marafiki...lakini nikajiona mjinga...nikatafuta marafiki...nikahudhuria semina za mambo mbali mbali...nikahudhuria matamasha ya michezo...nikajifunza kuogelea japo nilikuwa siwezi at the end nikajikuta sina tena hofu...hofu ni ugonjwa mbaya sana wa akili..
unaweza ukasoma hapa
Mfadhaiko, namna ya kukabiliana na hasira na akili sumbufu
au hapa Dawa za mfadhaiko
hapo kuna baadhi ya vitu unaweza ukajifunza
vile vile nimekuambatanishia vitabu hivyo hapo vitakusaidia...
 
Attachments

asante sana kwa kujali..
Mwenyezi Mungu akubariki..
nikiwa ok nitakuambia..
ngja nisome hayo maelezo
 
habari za mda huu..
Nahisi nmepata mfadhaiko
1.nina hofu iliozidi
2. najisikia kizungu zungu mno
3.. uchovu mwingi mda wote
4. sina hamu ya kula,japo najisikia njaa
5. mdomo unakauka muda wote
6. mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kwa sababu nashituka shutuka mara kwa mara
7. tumbo limejaa tu

kikubwa nina hofu sana, na mawazo mengi.
JE NIFANYE NINI ILI NIWE KAWAIDA ,MAANA HALI INANIKOSESHA AMANI NA NDIO INAZIDI KUONGEZEKA..

imeanza tangu juzi , mpaka sasa sina raha

Mfadhaiko

Mfadhaiko ni nini? Ni hali inayotokana na shida, matatizo au dhiki. Jamii, pesa, kazi, na shule ndio chanzo kikubwa cha mfadhaiko. Watu wanapokumbana na hali ya mfadhaiko huleta shida za kukabiliana na hasira.

Ishara ni zipi?

Mtembelee daktari kila mara. Ishara zifuatazo zaweza sababishwa na kitu kingine. Magonjwa yaweza changia kwa mfadhaiko wako:

  • Kuumwa na kichwa na mgongo
  • Kukosa usingizi
  • Kuhisi njaa na kukosa matumaini
  • Kutokuwa mmakinifu
  • Kulia
  • Kujificha kutoka kwa watu
  • Ulcers na kusokotwa na tumbo
  • Vipele
  • Shinikizo la damu ugonjwa wa moyo na pigo.
Utaikinga vipi na kutibu

  • Fanya mazoezi ya kila siku dakika 20-30, tembea, kimbia, au tembia kidogo wakati wa mapumziko.
  • Sikiza muziki muororo na ufunge macho kwa dakika 10-20 vuta pumzi.
  • Zungumza na mtu yeyote au andika chini hisia zako
  • Kula vya kula bora pia husaidia kumliwaza mtu
  • Jifunze kusema LA. Usifanye mambo mengi kuliko uwezo wako.
 
asante sana kwa kujali..
Mwenyezi Mungu akubariki..
nikiwa ok nitakuambia..
ngja nisome hayo maelezo
USIJARI....ni kipindi tuu cha mpito..nadhani muda si mrefu...utapata furaha yako...
article-2378821-1B0112D6000005DC-424_634x424.jpg
 
Unawaza nini ndugu? Na kwa nini huna marafiki?
 
Back
Top Bottom