Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Umejirudia upya ndani ya bongo. Hawa wanawake wanajifanya kumaindi kudandiwa ndani ya daladala, mbona faraghani wanadandiwa, tena bila nguo? Ingekuwa vipi kama ndio wanawake wangekuwa na mfadhaiko wakawa wanajisugulisha kwa wanaume ndani ya daladala. Wanaume wangemaindi na kuripoti polisi?
Hawana visugulio lakini.........
Hawana visugulio lakini.........
Mziwanda na Msanii.. you made my day.
hapo ni mstari mmoja ktk msambamba ila kwa kuongezea ni kwamba haya madawa wanayotumia siku hizi utachoka. huku mitaani au uswazi kuna vijiduka na maduka ambayo yanauza madawa ya kunenepesha makalio, kuongeza hips,. kuna moja nilipigwa na butwaa pale muuzaji aliponielekeza dawa fulania ambayo ukijipaka unakuwa nyegezi kinoma yaani unakuwa na hamu ya kuingia vitani kwa ari kubwa. kuna dawa nyingi sana. nasema hivyo kwa kuwa nina ushahidi na nimeziona kwa macho. hizi dawa si mitishamba kama tulivyozoea mkuyati bali zinatoka huko majuu zikiwa well packed (export to afrika). Sasa tegemea baada ya miaka michache ijayo vijana wengi watakuwa wamepoteza nguvu zao halisi kwa kutegemea haya madawa ya kingono-ngono.
hivyo kwa taarifa yenu mnaopenda majaaliwa ya uani fahamuni kwamba makalio mengi muyaonayo bongo ni feki. Pata wowowo halisi kutoka bushi ndo ulilete town. kudadadadeki
Red: ... kuna chupi spesheli ambazo zimeshonwa kwa masponji maeneo ya makalioni na mahips. Yaani wauziwa mbuzi kwenye gunia.
Blue; Yalaaaaaaaah so kina dada twawezapenda mjamaa kutokana na nguvu za bandia!! Mkuu hapa kunanifanya niamini habari ya rafiki yangu aliyeolewa na mwanaume ambaye walikuwa wanakaa mbalimbali kwa muda mrefu (kukutana kwao ni mara chache kwa miezi) ila baada ya kuanza kuishi pamoja ndipo rafiki yangu akaanza kulalamika kuwa jamaa 'hawezi' nikawa najiuliza kwani tangu walipoanza kuwa wote hakugundua hilo?
Green: Mkuu wawezamleta wa bush akajanjaruka akishapata mashostito mjini. The same with kujikoboa rangi.
Ila nyingine kuna stories nilipewa na dada mmoja baada ya kunilazimisha saaana kumtendea kinyume akisema kuwa anataka wowowo lake likue na kuwa lain ndo maana ameamua kulitumia kama maingilio.
hiyo ya chupi za playfom ni ya kizamani. siku hizi mwanamke anajipaka gelly fulani hivi anaumuka kama kitimoto. mtoto anakuwa kama amekalia hamira vile, wataalam wanaita anajipaka mafuta ya nguruwe.
Ila najiuliza, kwa nini mwanamke ili ajione anamvuto na kuvutia hulirutubisha KALIO lake?? je anakuwa anajua lina matumizi muruwa ktk upashanaji habari ops upashanaji joto? Ila nyingine kuna stories nilipewa na dada mmoja baada ya kunilazimisha saaana kumtendea kinyume akisema kuwa anataka wowowo lake likue na kuwa lain ndo maana ameamua kulitumia kama maingilio.
Siku hizi kuna wanaume wengi tu nao wanajichubua na siyo mashoga na wala siyo wazaire.Nao wanatafuta weupe wa niniRed: Mkuu ukichunguza saaaaan utagundua yote haya yanayofanywa na baadhi ya kina dada mf. kujichubua, kutafuta makalio, kuvaa nguo fupi n.k. ni ninyi kina kaka.
Umejirudia upya ndani ya bongo. Hawa wanawake wanajifanya kumaindi kudandiwa ndani ya daladala, mbona faraghani wanadandiwa, tena bila nguo? Ingekuwa vipi kama ndio wanawake wangekuwa na mfadhaiko wakawa wanajisugulisha kwa wanaume ndani ya daladala. Wanaume wangemaindi na kuripoti polisi?
Red: Mkuu ukichunguza saaaaan utagundua yote haya yanayofanywa na baadhi ya kina dada mf. kujichubua, kutafuta makalio, kuvaa nguo fupi n.k. ni ninyi kina kaka. Maana wengi wanafanya yale yanayowapendeza ninyi. So wanadada wengi huishi according to men's perspective. Mf. kuna kipindi wanaume wengi walikuwa wanadefine mwanamke mzuri ni yule aliye mweupe so watu wakaanza kuutafuta wa madukani. Ikaja mambo ya vichuguu, wowowo, wesereee e.t.c. so ndo wanayatafuta hivyo.
Pink: mh kwa wenye uzoefu tujuzeni njia hii inafanya hayo maajabu?. Mbona mashoga (wa kume) hawana hayo makalio makubwa au?
Wakulazimishwa nani?wewe msanii!!! hata kwa tingatiga haunishawishi wewe ni mzee wa kuji express your self hauwezi ngoja ulazimishwe mazee, uliikula hiyo kitu kwa ridhaa yako....LOFL!!!!
MJ1
Nadhani tumefikia mahali ambapo sisi binadamu hatujui tunataka nini wala tunaelekea wapi..si wanaume , si wanawake! Tuombe Mola atunusuru na gadhabu yake.