Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Umejirudia upya ndani ya bongo. Hawa wanawake wanajifanya kumaindi kudandiwa ndani ya daladala, mbona faraghani wanadandiwa, tena bila nguo? Ingekuwa vipi kama ndio wanawake wangekuwa na mfadhaiko wakawa wanajisugulisha kwa wanaume ndani ya daladala. Wanaume wangemaindi na kuripoti polisi?