ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mfaransa anaumia maana kawaibia miaka nenda rudi huku nchi zingine eti zikimlipa kwa kujenga miundombinu kipindi cha ukoloni utadhani walimwomba kufanya hivyoPropaganda za west hiz
Mfaransa akitumia Rasilimali zenu ni mwizi ila akitumia Russia sio mwizi si ndio? 😂😂Kuna mwizi wa rasilimali za west Afrika Kama mfaransa, Sasa hivi wameanza kumwondoa ndio anapiga majungu.
Kwani Kuna Nchi Huwa inalazimishwa kukopa Hadi iwaume? 😂😂Keshasema hakopi IMF Wala world bank na hicho ndio kinawauma.
Ile ni mikopo kausha damu, wanakupa halafu wanachota rasilimali zako. Kama nchi zikiacha kukopa automatical zitakufa.Kwani Kuna Nchi Huwa inalazimishwa kukopa Hadi iwaume? 😂😂
Akawaulize kina Nyerere
Ni lini na wapi Rasilimali zimewahi wekwa bond ya Mkopo? Weka ushahidiIle ni mikopo kausha damu, wanakupa halafu wanachota rasilimali zako. Kama nchi zikiacha kukopa automatical zitakufa.
Mikopo yote huwa ina makubaliano fulaniNi lini na wapi Rasilimali zimewahi wekwa bond ya Mkopo? Weka ushahidi
Makubaliano yapi zaidi ya Riba? Weka ushahidi usidhani Kila mtu ni punguani kama nyie na hao wajinga wenzenu mnaowashadidia.Mikopo yote huwa ina makubaliano fulani
Ndio, mfano nchi za Commonwealth ukigoma kukopa, unafanyiwa zengwe upinduliwe au uuwawe, au vikwazo vya kiuchumi, Djibouti aligoma kukopa, uliza kilichompataKwani Kuna Nchi Huwa inalazimishwa kukopa Hadi iwaume? 😂😂
Akawaulize kina Nyerere
🚮🚮Ndio, mfano nchi za Commonwealth ukigoma kukopa, unafanyiwa zengwe upinduliwe au uuwawe, au vikwazo vya kiuchumi, Djibouti aligoma kukopa, uliza kilichompata