Halafu mbegu zako za afutatu zinaoza kwa mambo yetu yaleee shemela..!!! And hence Mungu naye anakuwa anakudai..!!Sisi wafadhili binafsi tunapanda tu mbegu mioyoni tutalipwa mbinguni
😂😂😂 Shemela uchawi umeanza lini tenaHalafu mbegu zako za afutatu zinaoza kwa mambo yetu yaleee shemela..!!! And hence Mungu naye anakuwa anakudai..!!
Hata sijawahi ujuwe..!!😂😂😂 Shemela uchawi umeanza lini tena
Mfano kama gharama ya project ni 10mil, wao wanaomba 13mil kutoka kwa wafadhili. Hapo hiyo 3mil wanasema ni ya usimamizi so inakua ndio faida yaoSasa mfano mfadhili wa asas za kiraia (NGOS) ambayo yeye ni mtoaji tu ananufaika vipi?
Hii ina make senseMimi nadhani nbc waliweka sharti kila mchezaji alipwe kupitia nbc account
Hapo ukichukua timu 16 na kila timu ina wachezaji 25
16×25=400
Hao wote wanalipwa na timu zao kupitia nbc na kisha nbc kuongeza mapato kupitia bank charges za kila mwezi na atm charges unapotoa