Mfadhili wa Raila Odinga akutwa na bunduki zaidi ya 100 nyumbani kwake

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Daily Nation

IN SUMMARY
  • Police ransacked a villa in Malindi and confiscated five AK-47 rifles and 93 rounds of ammunition.
  • The raid came on a day Nasa leaders announced that they would start a nationwide series of rallies starting Tuesday.
Police raided city billionaire Jimi Wanjigi’s homes in Nairobi, Mombasa and Malindi on Monday.

The Muthaiga, in Nairobi, raid came hours after police ransacked a villa in Malindi and confiscated five AK-47 rifles and 93 rounds of ammunition.
 
Ennheee Kidogo nipaliwe na Chai Bunduki 100?

IMG_20171017_102010_824.JPG
 
Bado na hapa wale wanaomficha dreva kwa kisingizio cha kisaikolojia wabanwe vizuri
mumeshupalia dereva weee, haya wale walinzi wanamlinda naibu speaker na waziri sasa hivi ambao ni karibu na walinzi wa geti mbona hamuwagusi, hao inafaa wawekwe ndani kwanza mpaka pale tundu akipona ndio watolewe, lakini mnarusha rusha miguu tu, ati tunamtaka dereva
 
Kweli tupu
 
Hata Mahita aliwakuta CUF na visu kibao. Ila sasa hivi Lipumba ndio kubwa lao.
Siasa hivi mnaweza kuuana wajinga wajinga.
Pumbavu.
 
mumeshupalia dereva weee, haya wale walinzi wanamlinda naibu speaker na waziri sasa hivi ambao ni karibu na walinzi wa geti mbona hamuwagusi, hao inafaa wawekwe ndani kwanza mpaka pale tundu akipona ndio watolewe, lakini mnarusha rusha miguu tu, ati tunamtaka dereva
SASA USHASEMA WALINZI WA NAIBU SPIKA KWANI MAJUKUM YAO ULIAMBIWA NI KUMLINDA LISSU AU NAIBU SPIKA?
 
lazima ijulikane sheria za umiliki wa silaha huko Kenya hazifanani na Tanzania. Kuwa na silaha nyingi siyo issue kwa mfano rais wetu anamiliki shortgun na bastola na kuna wawindaji professional wanamiliki bastola zaidi ya moja, rifles kadhaa na shortgun kadhaa. Nilifikiri wamemkuta RPG, canon au kifaru
 
mumeshupalia dereva weee, haya wale walinzi wanamlinda naibu speaker na waziri sasa hivi ambao ni karibu na walinzi wa geti mbona hamuwagusi, hao inafaa wawekwe ndani kwanza mpaka pale tundu akipona ndio watolewe, lakini mnarusha rusha miguu tu, ati tunamtaka dereva
Kwahiyo dereva haletwi kwa sab hawajakamatwa walinzi wa n/spk au kwa sababu anaumwa?
 
Back
Top Bottom