Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
- Thread starter
- #21
Aisee
Sikupata kabla, sjui kwanini labda ni kutokana na Kakabiliwa na Vimajukumu
Roho za kula nyama za watu na kutesa nimeziskia sana kwenye simulizi , mara nyingi roho hizo wanamiliki watu wanaoitwa wachawi...binadamu wa kawaida unatoa wapi hio roho
aisee kuna vingi vipya humo kwangu kuna maarifa hongera mkuu[emoji120]
Asante pia [emoji120] Karibu sana Mkuu