Mfahamu aliyekiri kuhusika na kifo cha Bob Marley

gbefa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,807
Reaction score
15,840
Jasusi wa shirika la kijasusi la Marekeni, Bill Oxley, ndiye binadamu pekee hadi sasa aliyekiri kuhusika moja kwa moja na kifo cha marehemu Bob Marley.

Akiwa katika kitanda cha hospitali ya Mercy huko Miami, Bill Oxley alitoa siri ya muda mrefu kuwa yeye ndiye aliyempa Bob Marley viatu aina ya raba ambavyo ndani yake viliwekwa sindano ndogo sana yenye ncha kali iliyokuwa na vimelea vya ugonjwa wa kansa.

Katika maelezo yake, Bill Oxley anasema alifanya hivyo ikiwa ni mpango wa Marekani kuwaua wanamapinduzi na wapigania uhuru duniani.

"Nilipewa jukumu hilo na kufanikiwa kuwa na urafiki na Bob Marley. Hii ilimfanya asiwe na shaka nilipompa zawadi hiyo ambayo ndoyo iliyoomua," anasema Bill Oxley.

Katika maelezo yake Bill Oxley anaendelea kusema Bado anakumbuka na kuumia sana akijiwa na kumbukumbu ya namna Bob Marley alivyovaa raba hizo kwa furaha na kuhisi kama amechomwa na kitu. Hata hivyo hakuhisi chochote kwani alidhani ni raba zilikuwa zinambana kutokana na kuwa mpya.
IMG_20180208_194714_505.jpg
 
Bob angekufa kwa sumu ingejulikana maana madaktari wangesema, alikufa kwa ugonjwa wa Kansas aliyokuwa nayo kitambo...
Pili bob hajawahi kuwa tishio kwa nchi yoyote ile, zitazame nyimbo zake kama Alana za tishio lipo
 
Kansa pandikizi hiyo, C.I.A wameua wanaharakati wengi waliojaribu kutetea haki za mtu mweusi na nesta ni miongoni mwao
 
Bob angekufa kwa sumu ingejulikana maana madaktari wangesema, alikufa kwa ugonjwa wa Kansas aliyokuwa nayo kitambo...
Pili bob hajawahi kuwa tishio kwa nchi yoyote ile, zitazame nyimbo zake kama Alana za tishio lipo
Hivi kwa wachangiaji sampuli yako JF bado ina ubora wake?
 
Yeye sasa yuko wapi?njia yetu ni moja.usimpunguzie mwenzako siku za kuishi kwa manufaa yako ya hapa Duniani.Mwenyezi Mungu fundi
 
Jasusi wa shirika la kijasusi la Marekeni, Bill Oxley, ndiye binadamu pekee hadi sasa aliyekiri kuhusika moja kwa moja na kifo cha marehemu Bob Marley.

Akiwa katika kitanda cha hospitali ya Mercy huko Miami, Bill Oxley alitoa siri ya muda mrefu kuwa yeye ndiye aliyempa Bob Marley viatu aina ya raba ambavyo ndani yake viliwekwa sindano ndogo sana yenye ncha kali iliyokuwa na vimelea vya ugonjwa wa kansa.

Katika maelezo yake, Bill Oxley anasema alifanya hivyo ikiwa ni mpango wa Marekani kuwaua wanamapinduzi na wapigania uhuru duniani.

"Nilipewa jukumu hilo na kufanikiwa kuwa na urafiki na Bob Marley. Hii ilimfanya asiwe na shaka nilipompa zawadi hiyo ambayo ndoyo iliyoomua," anasema Bill Oxley.

Katika maelezo yake Bill Oxley anaendelea kusema Bado anakumbuka na kuumia sana akijiwa na kumbukumbu ya namna Bob Marley alivyovaa raba hizo kwa furaha na kuhisi kama amechomwa na kitu. Hata hivyo hakuhisi chochote kwani alidhani ni raba zilikuwa zinambana kutokana na kuwa mpya.
View attachment 692672
[emoji15]
 
Back
Top Bottom