God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Atubu tuu kabla ya kwenda kuchomwa kwenye moto wa milele jehanamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishatubu hatochomwa moyo mkuuAtubu tuu kabla ya kwenda kuchomwa kwenye moto wa milele jehanamu.
Kwa mujibu wa biblia najua ukitubu dhambi zako zote zinafutwa mengine ni juu ya Mungu.Akishatubu hatochomwa moyo mkuu
Kweli kabisa mkuu ukishatubu Mungu wetu ni mwaminifu sana anasamehe dhambi zoteKwa mujibu wa biblia najua ukitubu dhambi zako zote zinafutwa mengine ni juu ya Mungu.
Nami pia naamini hivo mkuu ila nafsi yangu haiamini kama KUUA MTU kuna msamaha kwa kweli.Kweli kabisa mkuu ukishatubu Mungu wetu ni mwaminifu sana anasamehe dhambi zote
Hata mm huwa najiuliza sana juu ya hili jambo lkn nakosa jibu la moja kwa mojaNami pia naamini hivo mkuu ila nafsi yangu haiamini kama KUUA MTU kuna msamaha kwa kweli.
Damu ya mtu inaita, usicheze na uhai wa mtu... nimekua mgumu sana kuamini kama ukiua unasamehewa kwa kweli.
Kuua kwangu mimi ni dhambi kubwa kushinda zote hapa duniani.
Nimewahi waona hao hawapo vizuri kisaikolojia ni watu walioharibikiwa akili.Hata mm huwa najiuliza sana juu ya hili jambo lkn nakosa jibu la moja kwa moja
Kuua mtu nidhambi kubwa sana sana lkn kuna watu huwa wanaenjoy sana kushuhudua mtu anakata roho mbele yake
Bob angekufa kwa sumu ingejulikana maana madaktari wangesema, alikufa kwa ugonjwa wa Kansas aliyokuwa nayo kitambo...
Pili bob hajawahi kuwa tishio kwa nchi yoyote ile, zitazame nyimbo zake kama Alana za tishio lipo
Unasema Bob hajawahi kuwa tishio kwa America?uliwahi kuusikiliza Rat race ?Je Babylon system? Interview Zake kuanzia 56 hope road Kingston. Kensington Gardens London hadi ile ya Essex house New York mwaka 80?. Je unafahamu kwamba yeye ndio alikua Bankroller mkuu wa Amnesty International, kuanzis mid70s'hadi early 80's? Jee wajua during struggle for African Independence Alichangia Millions of dollars?
You said well, kiongozi Bob alikuwa tishio kubwa kwa babilons (white man) na amechangia pakubwa katika alakati za afrika kupata Uhuru, Amani na umoja, refer African unit, Zimbabwe, real situation nk. Hivyo kwa namna yoyote ile ilikuwa lazima afe kwa maslai ya ngozi nyeupe.Unasema Bob hajawahi kuwa tishio kwa America?uliwahi kuusikiliza Rat race ?Je Babylon system? Interview Zake kuanzia 56 hope road Kingston. Kensington Gardens London hadi ile ya Essex house New York mwaka 80?. Je unafahamu kwamba yeye ndio alikua Bankroller mkuu wa Amnesty International, kuanzis mid70s'hadi early 80's? Jee wajua during struggle for African Independence Alichangia Millions of dollars?