Mongolia eheeee
Kamtafute Ghengis Khan...
Ambaye wanajeshi wake walikuwa wanalala na mizoga ya watu au kutembea na viuongo vya binadamu, ambapo adui akisikia hiyo harufu anatafuta pa kutokea...
Na hii ndio historia ya China kujenga The Great Wall of China....