Mfahamu Camilo Cienfuegos wa Cuba!!

Mfahamu Camilo Cienfuegos wa Cuba!!

Alizaliwa Argentina kwenye mji unaoitvwa ROSARIO; nilibahatika kufika kwenye nyumba aliyozaliwa shujaa huyu tulipotembelea huko na marehemu R.i.P. Patrick Qorro!!

kumbe ndio wewe, ntakuwa nakufahamu vizuri sana
 
Castro alifanya kila awezalo kuwa undermine wanamapinduzi wenzie. Che mwenyewe alidharaulika ikabidi aende kukomboa wengine ambapo tetesi ni kuwa Castro aliwatonya watesi wa che wapi alipokuwa ili wamuue. U communist ni sumu kuliko ubepari sababu hawa macommunist wanataka wawe na tabaka la juu la wenye nacho kama ilivyo China, Cuba na North Korea ambavyo inatokea sasa kwa Urusi chini ya Putin halafu wengine mfyate midomo, mikono na mikia yenu. That is the way to survive. Kila mara ni mapinduzi ya watu wa chini na kati kama tunavyosema sasa "maskini" tusubiri foreni za sukari, unga, ndala za Arusha tu Moshi, Petrol nk. Angalia Venezuera na Brazil nchi zina utajiri lakini kunani?? Madulo kafanya watu wake wawe kama mbwa mitaani. na mtangulizi wake ndo alimwita Castro baba.
 
asante.
 
Asante bibiiii
 
Back
Top Bottom