Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Usimaindi mterezeshe atereze Mwambie yalikuwa mapinduzi ya kupindua mfalme inatosha halafu subiri akuulize tenaAcha Kupenda Kitonga, Take Your Time To Google
pamoja sana mkuuMkuu hii avatar yako umeitendea haki aisee, asante kwa kutujuza
Mkuu umeadimika sana Leo, sijakuona kabisa kule mahalaMkuu hii avatar yako umeitendea haki aisee, asante kwa kutujuza
Kifo cha Camilo bado kinautata mpaka.hivi sasa, ukiwa katika mitaa ya zanja y fanta maeneo ya havana vieja mpka leo wana amini camilo alitolewa kafara , wengi wamasema kua camilo alikua kipenzi cha wengi na fidel alihofia pengine akamshinda umaarufu, mwalim wangu wa Judo mkazi wa san antonio de los.banyoz nae pia anaamiji camilo aliuwawa, ingawa wamekua hawaonge hadharani.Alizaliwa Argentina kwenye mji unaoitvwa ROSARIO; nilibahatika kufika kwenye nyumba aliyozaliwa shujaa huyu tulipotembelea huko na marehemu R.i.P. Patrick Qorro!!
Ila naamini alipishana mtazamona Castro. Ingawa Che Guevara anapinga kuwa Castro na Camilo hawajawahi kuwa na tofauti.Kifo cha Camilo bado kinautata mpaka.hivi sasa, ukiwa katika mitaa ya zanja y fanta maeneo ya havana vieja mpka leo wana amini camilo alitolewa kafara , wengi wamasema kua camilo alikua kipenzi cha wengi na fidel alihofia pengine akamshinda umaarufu, mwalim wangu wa Judo mkazi wa san antonio de los.banyoz nae pia anaamiji camilo aliuwawa, ingawa wamekua hawaonge hadharani.
kama LissuKatika hii dunia hakuna kitu kigumu kama kuwa tofauti na viongozi
Kumbe mtu akiwa na ndevu hawi handsome!!!? Dr. Remmy alikuwa ananyoa zote vp?Na zile ndevu zote?
Potrait picture ya Che Guavara ndio picha inayoongoza kwa umaarufu ikifuatia picha ya potrait ya Yesu, yaani potrait ya Yesu ni maaruf zaidi ikifuatiwa na potrait ya Che Guevara, ndio maana Maadui zake walimuua na kumpoteza kabisa ili isijulikane amezikwa wapi kwani kuna watu walikuwa kama wanamuabuduChe Guevara alikuwa handsome
Mkuu labda nikujibu kidogo sehemu ya mwisho ya maswali yako na kwa ufupi sana!!! Mapinduzi ya Cuba yamesaidia sana nchi za Afrika, achilia mbali misaada ya kijamii kama kujenga mashule, hospitali, nk lakini pia Wanamapinduzi wa Cuba wamemwaga damu sana katika ardhi ya Afrika kama nchini Cape Verde, Guinea Bissau, DRC ikiitwa Zaire wakati huo ambapo Che alikwenda kumsaidia marehemu Laurent Kabila. Lakini mchango kubwa wa Cuba ulikuwa katika vita za Angola ambapo jeshi la makaburu wa Afrika Kusini lilikuwa linamsaidia kibaraka Jonas Savimbi. WaCuba wakiwa upande wa serikali ya Angola waliwashinda makaburu na vibaraka wake kwenye vita Cuito Cuanavale 1986 na kuwarudisha nyuma mpaka ndani ndani ya koloni lao la Namibia. Hiyo ilikuwa Mara ya kwanza jeshi la makaburu kushindwa wazi wazi katika uwanja wa vita kusini mwa Afrika. Kushindwa huku kulisaidia sana serikali ya makaburu kuanza kufikiria namna ya kuleta mabadiriko kwenye siasa zake za ubaguzi wa rangi jambo lililotuletea kuachiwa huru Mandela na uhuru wa nchi ile katika misingi ya kura moja mtu mmoja. Hii ni kwa ufupi sana. Muhimu sana historia hii isisahaulike hata Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema anajuta kwanini nchi za Afrika hazikutoa msaada wa kijeshi pale Angola ilipokwenda kuomba OAU wakati huo na badala yake WaCuba ndio waliojitokeza kuiokoa serikali halal ya watu wa Angola.Mkuu haya mapinduzi ya cuba yalilenga nini hasa??na mchango wake duniani hasa kwa sisi weusi wa africa Ilikuwa ni nini???
Ungekuwa mhenga usingeuliza hili swali.Ila ngoja nikujuze.Mkuu haya mapinduzi ya cuba yalilenga nini hasa??na mchango wake duniani hasa kwa sisi weusi wa africa Ilikuwa ni nini???
Che Guevara aliuwawa na askari wa BoliviaHiyana kubwa na usaliti ulipita kati yao !!
Hapo Kuna Mkono Wa Mtu Nyuma Ya Mauaji Ya Camilo.