Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Huyu jamaa alishirikiana na PLFP-GC (peoples Liberation Front for Palestine-General Command kufanya operation mbalimbali middle east na europe ,waki cordinate na Red Army Fanction (RAF) ya germany
Eeeewwaaaaaaaa umenitendea hak mwamba
 
Uzi wangu unazid kupotea na cha kuongezea ili niubust sina.

Km kuna mdau ana chochote cha kujazia ndio muda sahih huu kabla mambo hayajawa tete zaid.
Haaaaahaaaaahaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu tumeleta storee za mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Tz hatunaga hao kina Carlos the jackal eeh!!
 
Nini hatima ya Mohamed Boudia?

Carlos alikuwa anapata wapi pesa?
 
Carlos alikamatiwa sudan maana omary bashir alikuwa akimuweka pale lakini siku omar bashir alipopata njaa ya pesa akawapa riport wafaransa walimkata kirahisi sana
 
Risasi ya carlos ilikuwa inalenga sehemu moja tu katikati ya paji la uso. Kwa hiyo hiyo ilikuwa alama yake kuwa mtu huyu kauwawa na carlos
 
Sasa ndio unamfananisha OBL huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…