Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Wote sawaAliemuuwa floyd tumuiteje? Au alirukwa akili?
Wote sawa
Wote sawa
Siyo mm mkuu ni hao walioandika bbc na india. Fuatilia link. Mi ugomvi wao siujui ila nimesoma kuwa ni gaidi anayetafutwa na amehifadhiwa Malaysia na serikali ya huko. Akikanyaga India wanamnyaka. Ndiyo maana anaogopa kurudi kwaoOk, twende taratibu mkuu. Kwanini huyu zakir umuite gaidi?
Siyo mm mkuu ni hao walioandika bbc na india. Fuatilia link. Mi ugomvi wao siujui ila nimesoma kuwa ni gaidi anayetafutwa na amehifadhiwa Malaysia na serikali ya huko. Akikanyaga India wanamnyaka. Ndiyo maana anaogopa kurudi kwao