Mfahamu Dkt. Zakir Naik

Mfahamu Dkt. Zakir Naik

Ok, twende taratibu mkuu. Kwanini huyu zakir umuite gaidi?
Siyo mm mkuu ni hao walioandika bbc na india. Fuatilia link. Mi ugomvi wao siujui ila nimesoma kuwa ni gaidi anayetafutwa na amehifadhiwa Malaysia na serikali ya huko. Akikanyaga India wanamnyaka. Ndiyo maana anaogopa kurudi kwao
 
Nashkuru mkuu, hata hivyo nimepitiwa kumbe ni Kinyungu! 😁
 
Back
Top Bottom