Mfahamu Freddie Mercury gwiji la muziki aliyezaliwa na kukulia Zanzibar, Ulaya wanajivunia

Mfahamu Freddie Mercury gwiji la muziki aliyezaliwa na kukulia Zanzibar, Ulaya wanajivunia

Huyu mzenji hakukaa hapa kwa Nyerere. Ukisema mzawa muweke Bi Kidude au Sitti rekodi zao sidhani kama kizazi kipya kimezivunja.
Aliishi zenji, walikimbia yale machafuko ya 1964 ndiyo wakaenda uingereza
Sehemu alipoishi utotoni mpaka leo ni kivutio
Kwa watalii wanaotoka uingereza kuja zenji..

Ova
 
Sasa kama jina lake la kuzaliwa aliitwa faroukh boulsara hiyo freddie alijipa au

Ova
 
Huyo ma tour guide wa zenji wanamtaja sana kama kivutio cha watalii.

Kuna mgahawa pale stone town wamebandika mapicha picha yake wanaiita freddy mercury.
Hadi sehemu alipoishi ni kivutio cha watalii
Muingereza yoyote akija lazima akazuru hapo!

Ova
 
Bohemian Rhapsody ,Radio Gaga,we will rock you na killer Queen
ni moja ya Kati ya nyimbo bora sana sana huyu jamaa ndio mfalme wa rock alikua na sauti moja matata sana watafiti walipima mawimbi ya sauti yake wakaona ina mpangilio wa tone zake usio wa kawaida yaani alikua ni wa ajabu sana kuzipangilia sauti ajabu
Waingereza wamemjengea sanamu huko London pia uswis kuna sanamu lake la kumuenzi na Zanzibar kuna makumbusho yake pale stone town

Tatizo la bwana Farouk Bulsara a.k.a Freddie mercury alikua choko
Hapo tu alinichosha kufukuliwa mtaro daaaaa
Anyway alikufa mwaka 1997 hukooooo!😂😂
 
Kama alikuwa choko hatutaki hata kujua historia yake!
acha unafiki kama )))
Kama alikuwa choko hatutaki hata kujua historia yake!
Acha unafiki kama wa ndugu zako wa Zanzibar wanajifanya kumtenga na hua wanajifanya kutomjua et kisa alikua choko na huko kila mwaka wanaingiza mapesa mengi kupitia yeye pindi watalii na mashabiki wa Bendi ya muziki ya Queen wanapomiminika Lila mwaka hapo stone town kuhiji sehemu aligozaliwa mfalme wa rock duniani
Na wewe unaungana katika kundi la wanafiki wa visiwani
Kiufupi hata mimi nishawahi kwenda kuhiji pale mercury park sababu ni mdau wa miondoko ya mziki wa rock mzee baba
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hata akiwa anahijiwa kila mwaka na hao wapenda rock ....Yeye ni bwabwa simsapoti na Wala sitotaka kujua historia yake..

Niache niendelee na unafiki wangu....
 
Alikua shoga ....so H I V aliambukizwa na basha wake mpiga ngoma wa band!!!!!.

Ni kweli mzaliwa wa zanzibar!! Japo alipolud kutumbuiza nyumban watu waliandamana!! Kisa jamaa ni gay:
 
Back
Top Bottom