Aliishi zenji, walikimbia yale machafuko ya 1964 ndiyo wakaenda uingerezaHuyu mzenji hakukaa hapa kwa Nyerere. Ukisema mzawa muweke Bi Kidude au Sitti rekodi zao sidhani kama kizazi kipya kimezivunja.
Hadi sehemu alipoishi ni kivutio cha wataliiHuyo ma tour guide wa zenji wanamtaja sana kama kivutio cha watalii.
Kuna mgahawa pale stone town wamebandika mapicha picha yake wanaiita freddy mercury.
Lilikuwa Shoga hilo hata usihangaike naloNgoja tum gugo
Hahaha mwamba umeingia hukuLilikuwa Shoga hilo hata usihangaike nalo
Ni kati ya Waislam wa mwanzoni katika ushoga
acha unafiki kama )))Kama alikuwa choko hatutaki hata kujua historia yake!
Acha unafiki kama wa ndugu zako wa Zanzibar wanajifanya kumtenga na hua wanajifanya kutomjua et kisa alikua choko na huko kila mwaka wanaingiza mapesa mengi kupitia yeye pindi watalii na mashabiki wa Bendi ya muziki ya Queen wanapomiminika Lila mwaka hapo stone town kuhiji sehemu aligozaliwa mfalme wa rock dunianiKama alikuwa choko hatutaki hata kujua historia yake!
Hata akiwa anahijiwa kila mwaka na hao wapenda rock ....Yeye ni bwabwa simsapoti na Wala sitotaka kujua historia yake..acha unafiki kama )))
Acha unafiki kama wa ndugu zako wa Zanzibar wanajifanya kumtenga na hua wanajifanya kutomjua et kisa alikua choko na huko kila mwaka wanaingiza mapesa mengi kupitia yeye pindi watalii na mashabiki wa Bendi ya muziki ya Queen wanapomiminika Lila mwaka hapo stone town kuhiji sehemu aligozaliwa mfalme wa rock duniani
Na wewe unaungana katika kundi la wanafiki wa visiwani
Kiufupi hata mimi nishawahi kwenda kuhiji pale mercury park sababu ni mdau wa miondoko ya mziki wa rock mzee baba
ππππππππ
sawa baba paroko nimekuelewaHata akiwa anahijiwa kila mwaka na hao wapenda rock ....Yeye ni bwabwa simsapoti na Wala sitotaka kujua historia yake..
Niache niendelee na unafiki wangu....
Sawa kabisa ...karibu tupate πΊπΊπΊππsawa baba paroko nimekuelewa
πππ
daaaa ukishushi na kitimoto ramadhani hii itakua muruaaaaaaaππππππSawa kabisa ...karibu tupate πΊπΊπΊππ
Sasa kama jina lake la kuzaliwa aliitwa faroukh boulsara hiyo freddie alijipa au
Ova