Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

Kuna watu wanaishi, wengine tunadumu tu.. all in all, Asante [emoji120][emoji120] ewe "MWENYEZI MUNGU" kwa zawadi ya pumzi ya uhai. haya mengine ni ziada tu.
 
Watu wa zamani ndio walikua matajiri Sisi tunanunua vitu vizuri vyenye gharama halafu tunabaki kama tulivyo, kipindi hicho mababu na mababu walinunua dhahabu, alimasi na Lulu wakaweka ndani, walinunua ng'ombe, mbuzi, kondoo, ngamia, farasi ambavyo vilikua asset hata ukiishiwa unageuza hapo hapo chakula waliishi mjini na vijijini na kote wakawekeza Kwa majumba, waliwekeza Kwa mazao mengi stoo, Ila hawa mbuzi siku hizi wanachekesha Kila Zama zina tabia zake hakika.
 
Kuna boya mwingine kanunua gari arobain kwaajili ya subscribers wake kitu wasichokijua wadau wengi wanao ona kama too much show off ni kwamba hawa watu wanaingiza mpunga kwa luxury life styles zao
Unamuongelea Mr. Beast?
 
Ila hela zao wanapeleka kwenye passion zao zaidi ambazo zina gharimu kuliko.
 
Ni kweli Aisee chalii yangu yani maphotoshop ya Hatarii afe tu jamaa tupate ahueni
Jamaa anashambuliwa kweli kwenye youtube comments wadau wanadai kazidisha kujionyesha mwezi hupiti ananua gari la gharama YATOSHA.
Kwani alimwibia au kumdhulumu mtu pesa zake?

Akifanya hayo yanawahusu / yanawawasha nini?

Aliwalazimisha kumfuatilia au kufuatilia post zake?
 
Sasa migari yote hiyo si mengine yanaweza kupita mwezi mzima hajayagusa? Mwezi mzima gari haujaiwasha si inaweza kuleta MAZONGE?
 
Hata sisi tunayo huku bongo mengi tu sema tume lay low ukiyapiga picha ukayarusha mtandaoni kesho yake wanakudaka wanakupiga Money Laundering......
tunaishi kwa kuchungulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…