Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

Hiv hii ni kweli au ni photo editing maana bado sielewi?
emoji26.png
 
Kuna watu wanaishi, wengine tunadumu tu.. all in all, Asante [emoji120][emoji120] ewe "MWENYEZI MUNGU" kwa zawadi ya pumzi ya uhai. haya mengine ni ziada tu.
 
Watu wa zamani ndio walikua matajiri Sisi tunanunua vitu vizuri vyenye gharama halafu tunabaki kama tulivyo, kipindi hicho mababu na mababu walinunua dhahabu, alimasi na Lulu wakaweka ndani, walinunua ng'ombe, mbuzi, kondoo, ngamia, farasi ambavyo vilikua asset hata ukiishiwa unageuza hapo hapo chakula waliishi mjini na vijijini na kote wakawekeza Kwa majumba, waliwekeza Kwa mazao mengi stoo, Ila hawa mbuzi siku hizi wanachekesha Kila Zama zina tabia zake hakika.
 
Kuna boya mwingine kanunua gari arobain kwaajili ya subscribers wake kitu wasichokijua wadau wengi wanao ona kama too much show off ni kwamba hawa watu wanaingiza mpunga kwa luxury life styles zao
Unamuongelea Mr. Beast?
 
Wenye pesa hawajisumbui na kuvaa nguo za gharama!!! Angalia Zuckerbeg wa facebook anavyovaa; ni t-shirts mpauko kila leo!!!
Masikini kama wewe ndio mnajisumbua na kuvaa designer clothes ili nanyi muonekane kama vile mna pesa just to feed your inferiority complex!
Ila hela zao wanapeleka kwenye passion zao zaidi ambazo zina gharimu kuliko.
 
Ni kweli Aisee chalii yangu yani maphotoshop ya Hatarii afe tu jamaa tupate ahueni
Jamaa anashambuliwa kweli kwenye youtube comments wadau wanadai kazidisha kujionyesha mwezi hupiti ananua gari la gharama YATOSHA.
Kwani alimwibia au kumdhulumu mtu pesa zake?

Akifanya hayo yanawahusu / yanawawasha nini?

Aliwalazimisha kumfuatilia au kufuatilia post zake?
 
Sasa migari yote hiyo si mengine yanaweza kupita mwezi mzima hajayagusa? Mwezi mzima gari haujaiwasha si inaweza kuleta MAZONGE?
 
Inakuwaje wanaJF

Kijana huyu Mwingereza Tim Burton mwenye umri wa miaka 33 alizaliwa tarehe 17/09/1987.

Anajulikana kwa jina la utani kama Shmee150. Ni car blogger, entrepreneur na youtuber ana followers zaidi ya 2m.

Ana utajiri wa dollar 15 M. Ana collection ya magari ya kifahari ya kutisha hasa super cars. Ambazo hana aibu kuzianika.

Juzi siku nne zilizopita kavuta mchuma wa maana Mercedes Benz AMG GTR Roadster. Na kabla mwaka uisha anataka kuvuta michuma mengine ya uhakika.

View attachment 1632479View attachment 1632480View attachment 1632481View attachment 1632483View attachment 1632486View attachment 1632489View attachment 1632489
Hata sisi tunayo huku bongo mengi tu sema tume lay low ukiyapiga picha ukayarusha mtandaoni kesho yake wanakudaka wanakupiga Money Laundering......
tunaishi kwa kuchungulia tu
 
Back
Top Bottom