Mfahamu Hamza Johari kwa jambo moja kabla ya kumfahamu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Jambo moja ama mawili:

1. Hamza Johari ni Mzanzibari, na amefundisha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na baadaye akawa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).

2. Hayo mawili ya juu siyo muhimu. Jambo kubwa kumhusu Hamza Johari ni kuwa huyu ndo binadamu aliyesimamia Ubinafsishaji (Uuzwaji ukipenda) wa Bandari za Tanganyika, na hasa bandari kuu ya Dar es Salaam. Yeye ndo alikuwa kiongozi wa Timu ya Majadiliano ya Serikali (GNT) na Wanunuzi, yaani DP World na Adan Group (sasa wakijulikana kama Tanzania East Africa Gateway Terminal Limited - EAGTL).

3. Baada ya kufanikisha dili hilo tuzo yake??? Akateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili hasa asaidie kumonitor masuala yote ya kisheria yanayoweza kuibuka kuhusu Mkataba wa Ubinafsishwaji wa Bandari ya Dar es Salaam jambo ambalo kwa hakika lina mazongezonge mengi na ufisadi ndani yake.

4. Huyu ni mjuzi tu wa sheria za aviation, tukimsikia anazungumzia kesi za Uhaini ijulikane tu ni uvivu wa kupiga mbizi pale forodhani.

Alamsiki.
 
Jambo moja ama mawili:

1. Hamza Johari ni Mzanzibari, na amefundisha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na baadaye akawa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).

2. Hayo mawili ya juu siyo muhimu. Jambo kubwa kumhusu Hamza Johari ni kuwa huyu ndo binadamu aliyesimamia Ubinafsishaji (Uuzwaji ukipenda) wa Bandari za Tanganyika, na hasa bandari kuu ya Dar es Salaam. Yeye ndo alikuwa kiongozi wa Timu ya Majadiliano ya Serikali (GNT) na Wanunuzi, yaani DP World na Adan Group (sasa wakijulikana kama Tanzania East Africa Gateway Terminal Limited - EAGTL).

3. Baada ya kufanikisha dili hilo tuzo yake??? Akateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili hasa asaidie kumonitor masuala yote ya kisheria yanayoweza kuibuka kuhusu Mkataba wa Ubinafsishwaji wa Bandari ya Dar es Salaam jambo ambalo kwa hakika lina mazongezonge mengi na ufisadi ndani yake.

4. Huyu ni mjuzi tu wa sheria za aviation, tukimsikia anazungumzia kesi Uhaini ijulikane tu ni uvivu wa kupiga mbizi pale forodhani.

Alamsiki.
Majungu hayasaidii kitu
 
Hamza Johari ni kiungo muhimu katika kuhakikisha Samia anabaki madarakani kwa nguvu.
Kuna timu nzima inayofanya kazi hii. Baadhi yao ni Polisi Awadh, mkuu wa kikosi maalum cha polisi, kinachofanya uhalifu mkubwa sasa hivi.
Kuna Mkurugenzi wa TCRA; kwenye mawasiliano, ndiyo maana kesi ya Lissu inang'ang'aniwa iwe ya mtandaonoi.
Jaji Mkuu, kabakishwa pale baada ya kufikia umri wa kustaafu, kwa kazi hii maalum ya kumbakisha Samia madarakani.
Kikwete na wengineo, ni viungo muhimu katika mpango huu.

Wakati huu siyo swala la CCM kushinda uchaguzi tena hapo Oktoba, ajenda muhimu ni kumbakisha Samia madarakani kwa njia yoyote ile.
 
Jambo moja ama mawili:

1. Hamza Johari ni Mzanzibari, na amefundisha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na baadaye akawa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).

2. Hayo mawili ya juu siyo muhimu. Jambo kubwa kumhusu Hamza Johari ni kuwa huyu ndo binadamu aliyesimamia Ubinafsishaji (Uuzwaji ukipenda) wa Bandari za Tanganyika, na hasa bandari kuu ya Dar es Salaam. Yeye ndo alikuwa kiongozi wa Timu ya Majadiliano ya Serikali (GNT) na Wanunuzi, yaani DP World na Adan Group (sasa wakijulikana kama Tanzania East Africa Gateway Terminal Limited - EAGTL).

3. Baada ya kufanikisha dili hilo tuzo yake??? Akateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili hasa asaidie kumonitor masuala yote ya kisheria yanayoweza kuibuka kuhusu Mkataba wa Ubinafsishwaji wa Bandari ya Dar es Salaam jambo ambalo kwa hakika lina mazongezonge mengi na ufisadi ndani yake.

4. Huyu ni mjuzi tu wa sheria za aviation, tukimsikia anazungumzia kesi Uhaini ijulikane tu ni uvivu wa kupiga mbizi pale forodhani.

Alamsiki.
Hapo umemjua tu Dogo!
 
Mkuu wa chuo kikuu sio mjuzi wa Kila family hapo chuo kikuu!

Hata Kabudi ali-specialize kwenye Sheria Fulani!

Hivyo ndivyo ilivyo kwa Kila gani, ewe hayawani!
 
Shule yake ikoje? Au ni ya kule Ukraine? Record yake ikoje huko mahakamani? Kashinda kesi ngapi?
Ni mwanasheria gani huyo anayeongelea mambo ya kesi kwenye muhimili wa Bunge huku akijua wazi kwamba kesi iko live huko kisutu? Speaker naye ni kilaza wa sheriia, sijui ni kwa nini hakumzuia huyo bwana Johari kuongelea mambo ya mahakamani? Hawa vilaza siku nyingine wawe wanajionea Haya walahi...
Sasa wamempa Lissu upenyo wa kutokea maana kaisha jadiliwa na kuhukumiwa huko Bungeni tayari... double jeopardy rule inahusika na watamwachia kwa technicality hiyo.

Hivi kweli mtu anajiita mwanasheria halafu anaingia Bungeni na kuanza kuongelea kesi ambayo iko mahakamani? Hii siyo tu ni kinyume na misingi ya utawala wa sheria, bali ni dharau kubwa kwa mhimili wa mahakama. Na huyo Spika naye ni kama hakuwepo kabisa – ni wajibu wake kuhakikisha Bunge halikiuki mipaka yake, hasa linapojadili jambo lililoko mbele ya mahakama.
Kwa hali hii, wamejimaliza wenyewe. Wamejenga mazingira ya Lissu kupewa ushindi wa kisheria kwa msingi wa double jeopardy. Huwezi kumhukumu mtu mara mbili kwa kosa lilelile – na kwa vile tayari wameshamjadili Bungeni kana kwamba ni mahakama, wameharibu kabisa mchakato wa haki.
Huu ni ushahidi tosha kwamba kuna ujuaji mwingi usio na msingi, na upungufu mkubwa wa heshima kwa taasisi za kikatiba. Wajifunze, wanaitia Tasnia ya sheria aibu sana kwa kweli hawa watu.
 
Hon. Hamza Saidi Johari is the Attorney General of the United Republic of Tanzania from August, 2024. He has a vast and long experience for over 20 years in contract negotiations, air and space law, law of the sea, maritime and regulatory laws.

He holds Bachelor of Laws (LL. B) and Master of Laws (LL.M) in International Law from University of Kiev in the Republic of Ukraine and holds a certificate of Leadership and Management from Administrative Staff College of India. He has attended various professional training and published several papers in Contract negotiations, Aviation and Airspace Law, Law of the sea and Maritime Law.

He was the Chairman of the International Civil Air Navigation Services Organization (CANSO) for African Region and a member of CANSO Executive Committee for six years and a Chairman of CANSO Legal Committee. He was the Chairman of SADC Aviation Committee and the Chairman of East African Community Civil Aviation Safety and Security agency (CASSOA).

He is a member of the Judicial Service Commission, Chairman of the Reconciliators, Negotiators, Mediators and Arbitrators Accreditation Panel, Chairman of the Government Legal Team, Member of the National Investment Steering Committee and Member of the Advocates’ Committee. He also served as a Chartered Member of the International Chartered Institute of Logistics and Transport (CILT) incorporated by the Royal Charter 1929 (United Kingdom), Life Member, Administrative Staff College of India and member of Institute of Directors in Tanzania.

Hon. Hamza Saidi Johari has worked as a Director General at Tanzania Civil Aviation Authority for nine years enforcing Civil Aviation Act, Chapter 80 of the Laws. He has been a visiting Lecturer at the University of Dar es Salaam, Mzumbe University and University of Alexandria (Egypt) in International Law of the Sea and International Law of Carriage (Land, Air and Sea).

He has been involved in negotiations of several Government projects on sea ports, aviation and international boarder disputes as the Chairman of the Government Negotiations Teams (GNT) and Member of various National Task Force and Steering Committees as follows:

  1. Member of the National Task Force Team on the Boundary dispute between United Republic of Tanzania and Republic of Malawi
  2. Member of the National Task Force Team on the Boundary dispute between United Republic of Tanzania and Republic of Burundi
  3. Member of the National Task Force Team on the Boundary dispute between United Republic of Tanzania and Republic of Uganda
  4. Engaged as an expert for legal opinion by the Government of Japan on the dispute between Japan and China over Senkaku Island
  5. Lead Negotiator of the Government Team on Bilateral Air Services Agreements between United Republic of Tanzania and United States of America, Canada, United Kingdom, France, Italy, Spain, China, Russia, United Arab Emirates, Germany, Netherlands, South Africa, Oman, South Korea, Morocco and Kenya
  6. Chairman of the Government Negotiation Team on the revision of Concession Agreement between Tanzania Ports Authority and Tanzania International Container Terminal Services (TICTS)
  7. Chairman of the Government Negotiation Team on the revision of Share Holders Agreement and other Commercial Transactions between the Government and PUMA Energy
  8. Chairman of the Government Negotiation Team on the revision of Share Holders Agreement between the Government and TIPPER
  9. Chairman of the Government Negotiation Team on the revision of Share Holders Agreement between the Government and Progress Rail of United States of America for procurement of Locomotives for Tanzania Railway Corporation
  10. Chairman of the Government Negotiation Team on the termination of Concession Agreement between Tanzania Ports Authority and Tanzania International Container Terminal Services (TICTS)
  11. Lead Negotiator for the Government Negotiation Team for the Partnership and development of Intergovernmental Agreement (IGA) for the development of Dar es Salaam Port between the government of United Republic of Tanzania and Emirate of Dubai.
  12. Lead Negotiator for the Government Negotiation Team for the Host Government Agreement (HGA) between the Government and DP World of U.A.E
  13. Lead Negotiator for the Government Negotiation Team for the Concession Agreement between the Government and DP World of U.A.E
  14. Lead Negotiator for the Government Negotiation Team for the Lease Agreement between the Government and DP World of U.A.E for land lease at Dar es Salaam Port
  15. Lead Negotiator for the Government Negotiation Team for Concession Agreement between the Government and Adani Ports of India for the container services at Dar es Salaam Port
  16. Lead Negotiator for the Government Negotiation Team for Lease Agreement between the Government and Adani Ports of India for land lease at Dar es Salaam Port
His journey through various key positions in the Government, Legal and Contract Negotiations has been marked by his commitment to excellence, innovation, honesty and positive transformation.
 
Tanzania ina wenyenchi na wananchi
na hofia wenyenchi kuleta vurugu, mauaji, vitisho, machafuko ili waendelee kulinda maslahi yao na kubaki madarakani kwa nguvu
tuwe makini na kundi hili la waovu, makatili
 
Shule yake ikoje? Au ni ya kule Ukraine? Record yake ikoje huko mahakamani? Kashinda kesi ngapi?
Ni mwanasheria gani huyo anayeongelea mambo ya kesi kwenye muhimili wa Bunge huku akijua wazi kwamba kesi iko live huko kisutu? Speaker naye ni kilaza wa sheriia, sijui ni kwa nini hakumzuia huyo bwana Johari kuongelea mambo ya mahakamani? Hawa vilaza siku nyingine wawe wanajionea Haya walahi...
Sasa wamempa Lissu upenyo wa kutokea maana kaisha jadiliwa na kuhukumiwa huko Bungeni tayari... double jeopardy rule inahusika na watamwachia kwa technicality hiyo.

Hivi kweli mtu anajiita mwanasheria halafu anaingia Bungeni na kuanza kuongelea kesi ambayo iko mahakamani? Hii siyo tu ni kinyume na misingi ya utawala wa sheria, bali ni dharau kubwa kwa mhimili wa mahakama. Na huyo Spika naye ni kama hakuwepo kabisa – ni wajibu wake kuhakikisha Bunge halikiuki mipaka yake, hasa linapojadili jambo lililoko mbele ya mahakama.
Kwa hali hii, wamejimaliza wenyewe. Wamejenga mazingira ya Lissu kupewa ushindi wa kisheria kwa msingi wa double jeopardy. Huwezi kumhukumu mtu mara mbili kwa kosa lilelile – na kwa vile tayari wameshamjadili Bungeni kana kwamba ni mahakama, wameharibu kabisa mchakato wa haki.
Huu ni ushahidi tosha kwamba kuna ujuaji mwingi usio na msingi, na upungufu mkubwa wa heshima kwa taasisi za kikatiba. Wajifunze, wanaitia Tasnia ya sheria aibu sana kwa kweli hawa watu.

Inaonekana hayupo kabisa kwenye criminal na mengine makubwa, kabobea kwenye mikataba zaidi.
 
Back
Top Bottom