Mfahamu Hamza Johari kwa jambo moja kabla ya kumfahamu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Majungu hayasaidii kitu
Nathan ungekuja na hoja ya kupinga hzo hoja,,ueleze pengine sio yy aliongoza KUUZA bandar,ueleze ni mwanasheria mbobevu na pengne uonyeshe roll no.yake ya uwakili,nadhan walau ungekua umejarb kujib
 
Na hii CV yote bado tu hajui kwamba kuongelea Bungeni kesi iliyo live huko Mahakamani ni kuingilia muhimili huo wa mahakama? Hivi hii CV ni ya kukaririshwa au ni ya kimkakati zaidi ile kuipaisha Career yake? Sasa na aende akagombee Urais huko Zanzibar, sio kutamka tamka mambo ya kijinga huko Bungeni wakati maamuzi ya mahakama ni wiki kesho...
 
Leo,nimemjua Mwanasheria Mkuu ,siku hizi napitwa na mambo!
 
Natamani hamza johari alizaliwa wapi na lini,maana kwenye elimu nimeona,nikisikiliza lafudhi yake haoneshi kama ni mzanzibari
 
Vampire huyu ni kipenzi chake.
 
Watu waliona haya mapema. Samia imechafuka damu za watanzania kwa sababu ya uchu wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…