Mwaka 1926
Bwana Harry Price aliitwa kwenda kufanya utafiti nchini Italia Vienna ikiwa ni Mwezi wa Aprili mwaka 1926. Alisikia shuhuda kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu tukio la mtoto wa kike mmoja aliyesadikika kuwa amepanda mashetani.
Alipata kuona vithibitisho kadhaa wa kadha mfano: Kutoa sauti zisizo za kawaida, pamoja na macho kubadilika rangi na kuwa meupe na Wakati Mwingine kuwa rangi nyekundu.
Alisafiri na familia hii yote mpaka Uingereza ili kuona vithibitisho zaidi. Hii ni Moja kati ya kesi iliyompa umaarufu Kwani mwanzoni alikataa na kutoa ushahidi katika kesi za wapiga dili tu matapeli.
Mtoto huyu wa kike akipandwa na mashetani hayo aliweza kuhamisha vitu mfano viti & meza na pamoja na kutoa hata damu huku akitoa vicheko vya kutisha.
View attachment 1738028
View attachment 1738030