Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaaamUnataka picha Moto Moto?[emoji28]
Ingekuwa "ajabu sana" kipindi kingekosa soko.Wenzetu Wana vipindi vya ajabu Sana,
Na chakushangaza vinawaingizia Ela balaa[emoji4]
Kitaendelea tu...Wee fikiria kipind kinapigwa figisu tangu mwaka 1980 mpk leo bado kinadunda[emoji4]
Sasa kazi gani Mkuu kuchungulia Nyuchi za watu kila sikuSatan katokea wapi Tena mkuu[emoji4]
Dira...Hahahaah ila jamiiforums raha sana. Yaani kuna watu wame-specialize kwenye baadhi ya mambo tu. Kwa kuwataja wachache;
1. DeepPond huyu ni ishu zinazohusu tasnia ya porn.
2. Mshana Jr huyu ni ishu za kichawi.
3. Habibu B. Anga na mambo ya ujasusi.
Kule jlw safina yetuMaarufu wa nini mkuu?
Mkuu embu nyoosha maelezoKule jlw safina yetu
Kwa hio mkuu huu Uzi umeupitia na ukaona harakati za bwn Howard na mambo yake ya mikasi?Tupe tathimini yako khs bwn Howard mkuu.Dira...
Nigependa kueleza kidogo kuhusu kuwa mimi nimespecialise chembelecho ''ishu'' ya familia ya Sykes na Uislam.
Tuanze na ukoo wa Sykes.
Waandishi wa historia ya Tanganyika walitishwa na vitu vitu viwili navyo ni Sykes kutawala harakati za Waafrika katika kupigania haki za Waafrika kuanzia mwaka wa 1929 hadi ulipopatikana uhuru 1961.
Mwaka wa 1929 historia hii inaanza na baba, Kleist Sykes hadi alipofariki 1949.
1950 hadi 1961 harakati hizi zinapokelewa na wanae Abdul, Ally na Abbas.
Ukoo huu ulikuwa na ushawishi mkubwa katika AA, TAA na TANU na pia katika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika chama alichoanzisha baba yao 1933 pamoja na wenzake kama Ali Jumbe Kiro na Mzee bin Sudi kwa kuwataja wachache.
Hii Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika ilianzishwa na viongozi wale wale ambao walikuwa wanaongoza AA katika miaka hiyo.
Hii ndiyo sababu huwezi kuuondoa Uislam katika harakati za kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hiki ndicho chanzo cha tatizo linalotaabisha wengi wenu.
Mnataka kuifuta historia hii na mumpachike Julius Nyerere awe ndiye muasisi wa TANU na kuwa kapigania uhuru wa Tanganyika peke yake akiwa hana ofisi, hana watu wala hana fedha.
Kafika Dar es Salaam kafungua ofisi kajulikana na watu na wa watu wakamuunga mkono na akawa anajaza watu katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja bila ya msaada wa mtu yeyote.
Mimi nimesahihisha haya kwa kuzipitia Nyaraka za Sykes na nyaraka hizi zikanipa historia yote kama ilivyokuwa.
Ikiwa kuandika haya kwako ni ''specialisation'' ya Sykes ningependa kukukumbusha kuwa umesahau kuwaongeza wale ambao ''specialisation,'' yao ni Julius Nyerere peke yake.
Nakuomba uwaongeze hawa katika orodha yako kwani hawa wamebobea kwa miaka mingi katika kazi hii iliyowaondosha wazalendo wengi katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika wakabakia na Nyerere peke yake.
Hawa hawaruhusu mzalendo yeyote atajwe katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Lakini mimi sikuspecialise kwa Sykes peke yake.
Nimewarejesha katika historia wazalendo wengi wakawa ''speciality'' zangu : Chief David Kidaha Makwaia, Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr. Michael Lugazia, Dr. Luciano Tsere, Dr. Joseph Mutahangarwa, Dr. Wilbard Mwanjisi, Japhet Kirilo, Dome Okochi Budohi, Denis Phombeah, Zuberi Mtemvu, Mshume Kiyate, Joseph Kimalando, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Mohamed Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe, Hamisi Kheri, Sheikh Said Chaurembo, Mshume Kiyate, Sheikh Mohamed Ramiyya, Iddi Faiz Mafungo, Iddi Tosiri, Amina Kinabo, Hawa bint Maftah, Nyange bint Chande, Mama Bint Mwalimu, Halima Selengia, Zarula bint Abdulrahman, Chiku bint Said Kisusa Abdulrahman wengi, wengi, wengi sana.
Wake kwa waume nimeandika historia zao katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Sikumwandika Abdulwahid Kleist Sykes peke yake.
Kitabu chake kipo sasa tunakwenda chapa ya tano na hapa JF tunakijadili kitabu sasa takriban miaka 10.
View attachment 2186656
View attachment 2186658
Huyu dingi anaweza kukwambia Howard aliunganishwa na Robin quivers kupitia Sykes pale Kkoo.. 😄😄Kwa hio mkuu huu Uzi umeupitia na ukaona harakati za bwn Howard na mambo yake ya mikasi?Tupe tathimini yako khs bwn Howard mkuu.
Mzee huwa wanasema "too much is harmful".. karibu kila uzi au comment lazima jina Sykes liwepo.Dira...
Nigependa kueleza kidogo kuhusu kuwa mimi nimespecialise chembelecho ''ishu'' ya familia ya Sykes na Uislam.
Tuanze na ukoo wa Sykes.
Waandishi wa historia ya Tanganyika walitishwa na vitu vitu viwili navyo ni Sykes kutawala harakati za Waafrika katika kupigania haki za Waafrika kuanzia mwaka wa 1929 hadi ulipopatikana uhuru 1961.
Mwaka wa 1929 historia hii inaanza na baba, Kleist Sykes hadi alipofariki 1949.
1950 hadi 1961 harakati hizi zinapokelewa na wanae Abdul, Ally na Abbas.
Ukoo huu ulikuwa na ushawishi mkubwa katika AA, TAA na TANU na pia katika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika chama alichoanzisha baba yao 1933 pamoja na wenzake kama Ali Jumbe Kiro na Mzee bin Sudi kwa kuwataja wachache.
Hii Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika ilianzishwa na viongozi wale wale ambao walikuwa wanaongoza AA katika miaka hiyo.
Hii ndiyo sababu huwezi kuuondoa Uislam katika harakati za kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hiki ndicho chanzo cha tatizo linalotaabisha wengi wenu.
Mnataka kuifuta historia hii na mumpachike Julius Nyerere awe ndiye muasisi wa TANU na kuwa kapigania uhuru wa Tanganyika peke yake akiwa hana ofisi, hana watu wala hana fedha.
Kafika Dar es Salaam kafungua ofisi kajulikana na watu na wa watu wakamuunga mkono na akawa anajaza watu katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja bila ya msaada wa mtu yeyote.
Mimi nimesahihisha haya kwa kuzipitia Nyaraka za Sykes na nyaraka hizi zikanipa historia yote kama ilivyokuwa.
Ikiwa kuandika haya kwako ni ''specialisation'' ya Sykes ningependa kukukumbusha kuwa umesahau kuwaongeza wale ambao ''specialisation,'' yao ni Julius Nyerere peke yake.
Nakuomba uwaongeze hawa katika orodha yako kwani hawa wamebobea kwa miaka mingi katika kazi hii iliyowaondosha wazalendo wengi katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika wakabakia na Nyerere peke yake.
Hawa hawaruhusu mzalendo yeyote atajwe katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Lakini mimi sikuspecialise kwa Sykes peke yake.
Nimewarejesha katika historia wazalendo wengi wakawa ''speciality'' zangu : Chief David Kidaha Makwaia, Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr. Michael Lugazia, Dr. Luciano Tsere, Dr. Joseph Mutahangarwa, Dr. Wilbard Mwanjisi, Japhet Kirilo, Dome Okochi Budohi, Denis Phombeah, Zuberi Mtemvu, Mshume Kiyate, Joseph Kimalando, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Mohamed Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe, Hamisi Kheri, Sheikh Said Chaurembo, Mshume Kiyate, Sheikh Mohamed Ramiyya, Iddi Faiz Mafungo, Iddi Tosiri, Amina Kinabo, Hawa bint Maftah, Nyange bint Chande, Mama Bint Mwalimu, Halima Selengia, Zarula bint Abdulrahman, Chiku bint Said Kisusa Abdulrahman wengi, wengi, wengi sana.
Wake kwa waume nimeandika historia zao katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Sikumwandika Abdulwahid Kleist Sykes peke yake.
Kitabu chake kipo sasa tunakwenda chapa ya tano na hapa JF tunakijadili kitabu sasa takriban miaka 10.
View attachment 2186656
View attachment 2186658
Dira...Mzee huwa wanasema "too much is harmful".. karibu kila uzi au comment lazima jina Sykes liwepo.
Dira...Huyu dingi anaweza kukwambia Howard aliunganishwa na Robin quivers kupitia Sykes pale Kkoo.. 😄😄