Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku ni Chit chat mkuu.Acheni ujinga.
Chit chat & Jokes.Acheni ujinga.
Kwa jiyo umekubali huu ni ujinga ila umeamua tu kuwa mjinga kwa makusudi tu?Huku ni Chit chat mkuu.
Kila siku nyuzi za chambuzi za Mbowe na Lissu, Mara Goma na Waasi wa M23, Ukienda kimataifa unakutana na nyuzi za Trump na vikwazo vyake huko USAID.
Ukigeuka huku Jamii Intelligency unakutana na mabishano ya kuthibitisha kama Mungu yupo unakutana na Malogical fallacy mara Ignostics.
Siku moja moja tunarefresh Minds mkuu 😆
Mimi nitake wewe ufanye nini ili iweje?Nimefanya hii kwa akili yangu mkuu, nikiwa Timamu kichwani.
Nipe maoni yako, wewe ulitaka nifanye nini?
Hili umeshaniambia, na mini sijakubishia. Sijui kwa nini unarudia.Hiki nilichoandika ni Ujinga kwako wewe, kwa wengine ni utani kama jukwaa lenyewe linavyoitwa Chitchats and Jokes.