Mfahamu Ilhan Omar mwanaharakati anayepambana dhidi ya ubaguzi wa Trump kwa wasomali Marekani

Mfahamu Ilhan Omar mwanaharakati anayepambana dhidi ya ubaguzi wa Trump kwa wasomali Marekani

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Huyu bi dada ni mmoja wa wanaompa msongo wa mawazo Rais Trump

------------

Ilhan Omar ni mwanasiasa mashuhuri wa Marekani, mbunge wa chama cha Democratic-Farmer-Labor (DFL), akiwakilisha Jimbo la 5 la Minnesota katika Bunge la Marekani. Alifanya historia kama mmoja wa wanawake wawili wa kwanza Waislamu kuchaguliwa na kuwa Mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomali nchini Marekani. Omar alihamia Marekani akiwa na miaka 12 kama mkimbizi na baadaye kupata uraia wa nchi hiyo, na amekuwa sauti muhimu kwa masuala ya haki za binadamu, wahamiaji, na usawa katika jamii.

Mgogoro kati ya Ilhan Omar na Rais Donald Trump umechukua sura kubwa ya kisiasa nchini Marekani. Trump amekuwa akimlenga Omar na jamii ya Wasomali kwa kauli zake za ubaguzi na chuki dhidi ya wahamiaji. Katika matamshi yake ya karibuni, Trump aliwataja wahamiaji kutoka Somalia kama “takataka” na kudai “wameiharibu nchi,” akiongeza kuwa Omar, licha ya kuwa raia halali, “anapaswa kufukuzwa.” Omar amezijibu kauli hizo akiziita “za kuchukiza” na kuthibitisha kuwa hazishangazi kwa sababu Trump “amekuwa akitumia ubaguzi, chuki dhidi ya wageni, Waislamu na watu weusi” tangu aanze siasa.

Katika chapisho lake kwenye The New York Times, Omar alisema Trump anashambulia jamii yake kwa sababu “anajua anashindwa,” na anajaribu kuelekeza lawama kwa wahamiaji ili kuficha kushindwa kwa sera zake za ndani. Ameeleza pia kuwa mashambulizi ya Trump siyo mapya amewahi kutoa kauli za kuwakejeli Wahaiti, kuwaita nchi za Afrika “shithole countries,” na kuwatuhumu Wahamiaji wa Mexico kuwa wabakaji na wauzaji wa dawa za kulevya. Kwa upande wake, Omar anasisitiza kuwa licha ya mashambulizi haya, jamii ya Wasomali na wahamiaji wengine ni sehemu muhimu ya ujenzi wa taifa hilo, na “hawatanyamazishwa.”

1765025200327.png

1765025150285.jpeg

Source: The guardian, fox news & the new york times
 
Huyu dada na watu wengine wengi wa jamii yake(wavaa ushungi) wakikaribishwa kwenye nchi za watu hasa western countries wakapata na wadhifa kwenye system wanachofanyaga wao ni kuleta social crisis kwa malalamiko yasioisha kuhusiana na haki wanazotaka wao.

Mara nyingi watu hawa wanatumia victim card kuulazimisha zitungwe sheria zinazoendana na tamaduni zao huko walikotoka.

Mfano kama huyu IIhan Omar tangu amekuwa mbunge kilichomfanya hadi akawa maarufu hivi ni kupambana na mambo za Islamophobia tu basi.

Na ndio maana Trump alimwambia Marekani sio Somalia, sio kila anachotaka kifanyike kitafanyika, akitaka kupractice kila anachojiskia basi arudi kwao huko Somalia jalalani.
 
Wewe dickhead kwani unaishi US
Pumbavu ndio nyinyi minyani inayovaa misalaba mijitu mieusi mnawapa weupe raha ya kujikumbusha jinsi walivyonyanyasa watu weusi kwa sababu kenge kama wewe ungepata fursa ya kuishi na wazungu ungekuwa wale mazoba wanaojichekeshachesha mbele yao hata wakichanganya slang yao yenye maneno ya kukudhalilisha hutaelewa zaidi ya kujichekesha.
Nimekutana sana na mifyongo mieusi ulaya kama wewe lipolipo tu hata halijui linadharaulika
Watu kama huyo dada wa kisomali na mwenzake cortez wanawalaza wazungu na viatu na wanaogopa hata kuongea nao wanajua watakula za uso
Raisi mzima jinga kabisa limeshindwa kuvumilia madongo ya sosho media linalilia kwenye mkutano kuhusu nchi fulani
 
Pumbavu ni baba yako mzazi aliyekurithisha upumbav ambaye naye pia alirithi kwa babu yako..!

Hakuna unachojua ****** wewe, eti anawalaza wazungu na viatu, ana nini cha maana huyo IIhan zaidi ya kupiga kelele kuhusiana na haki za wahamiaji waislamu ndani ya marekani ambazo zinakinzana na tamaduni za wamarekani wengi?

Wapo wanasiasa wanawake weusi ambao wako smart kama Jasimine Crockett na sio mlalamkaji
 
Trump anawapa za uso, waende kujenga nchi zao huko.

Sasa kasepa kwao akiwa na 12 yrs, saivi si kawa mtu mzima arudi kujenga huko kwao alikotoka.
 
Nyani wewe mweusi ndio nyinyi wenye vinasaba vya jim crow, akili umeiweka mkunduni kumanyoko
Na ndio anawalaza wazungu na viatu, hii mara ya ngapi kachaguliwa tena ? unajua au unaongeelea matakoni
Huyo crockett kwa kuwa ni mgalatia mavi mwenzako ndio unamtaja,
wewe kwanza unakula vumbi, siasa za US zinakuhusu nini unajifanya mchambuzi makende brain

View attachment 3512745
Kwani wakienda kujenga nchi Yao somalia Kuna ubaya gani
Mkataa kwao ni mtumwa shekh
 
Wasomali wametapakaa Dunia nzima na wanaishi maisha bora ambayo ninyi waua watu Tanzania hamuishi mtabaki kuwaponda kwenye mitandao kwa sababu ya chuki tu huyo bi Dada ni kichwa kweli anapingana na Trump katika mambo yake ya ubaguzi wa wazi ambao sasa hivi pia umeonekana baada ya kukataa kutoa Visa kwa washabiki wa WC watakaoingia USA na pia Infatino kampa Trump tuzo ya kimagumashi ambayo watu wamebaki kuiponda tu.
 
Back
Top Bottom