Mfahamu J. Edgar Hoover, Mkurugenzi wa FBI Tishio la Wahalifu na Viongozi Wakubwa

Kwa Eleanor Roosevelt umetupiga.
 
Safi sana kwa wasilisho zuri. Baadhi ya vyanzo vinasema kuwa J. Edgar Hoover hakufa kifo cha kawaida bali aliuawa na utawala wa Nixon kwa kuwekewa sumu kwenye toilet paper baada ya kuombwa kujiuzulu na Nixon halafu yeye akakataa. Kwa kukataa kujiuzulu Nixon akamuona Hoover ni tishio akaamua kumuondoa kwa staili hiyo.
 
Sina uhakika ila kiukweli nixon na huyu mwamba zilikuwa haziiviani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…