Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwa hiyo huko Zanzibar ninyi hamna tatizo na matendo yake? Cha msingi awe salamaleku mwenzenu sio?Aje Zanzibar abadili jina tu ajiite baresa atakula bata bila taabu
Duh! Kwa hiyo Jabil ndiye alikuwa Bashite wa Syria?Moderator saidia kurekebisha kichwa cha habari tafadhali
Wadau hamjamboni nyote?
Jamil Hassan almaarufu the butcher au mchinjaji
Aliongoza kikosi maalumu Air Force Intelligence kikihusika na utekaji, utesaji, mauaji ya watu mbalimbali waliohesabika kuhatarisha utawala wa Asad
Alikuwa mtu wa karibu sana na Asad huku akiogopwa mno na raia wa Syria
Anatafutwa na nchi kadhaa ikiwemo Marekani, ufaransa na ujerumani
Baada ya Asad kupinduliwa alipotea na hajulikani alipo hadi leo