Mfahamu Jenerali Mayele na anguko la Zaire

Kama una stori nyingine huna budi kuiweka hapa maana hii stori ni ya kufurahisha sana
 
Nzuri sana hongera sana[emoji1490][emoji1490][emoji1490]
 
Congo aitatokeyaga kuwa na usalama kuna Mambo mengi ..Mungu awajaliye watu Wake mana wanapitiya Mambo mengi kutokana na Mali za kwao
 
Ahsante sana Lucas Mobutu
 
Simulizi nzuri sikutaka iishe haraka,poa sana
 
Simulizi nzuri sikutaka iishe haraka,poa sana
Mambo kama haya kuyapata ni kazi sana,wacongo huandika stories zao kikongo na kifaransa,kwahiyo kupata zile full details mpaka kufika Congo,ila siku moja nikifika huko Nita record documentary nitaileta hapa
 
Mkuu lucas mobutu umeeleza kiufasaha hii stori inasisimua,vip Hao waliomuua mahele ilijakuwaje kwao waasi walipoingia ilikuaje?
Masiya, kinusikwetu
Walichinjwa ,wengine walikufa kwa risasi,maana hata baada ya mobutu kuondoka Zaire,wao waliapa kumtetea mpaka mwisho,
Waasi walipofika Kinshasa walienda camp tshashi ambayo ndiyo ilikua makao makuu ya jeshi wakaivamia wakawauwa hao walinzi wa mobutu,ila wengine bado wapo na ndio wanaendesha vikosi vya waasi
 
asante kwa taarifa hii tamu
 
Du,mbona Mayele alipigwa shaba mpakani hapo na Uganda wakati yuko mstari wa mbele kuwatoa waganda waliokua wanapita pale kulekea Sudan na wanapora.
Mayele akasimamia battle mpaka kawafikisha mpakani naskia ni Salim Saleh alikuja kummaliza.
 
hili jeshi la congo linamatatizo sijui muundo wao upoje yaani ni wajinga sana maofisa wa juu wapo kimaslah binafsi

nilipata kutizama documentari moja hivi ya bbc inayoonesha namna ofisa mkubwa mwenye umri mdogo (mamadou ndala) alivyopambna na m23 huko goma baada ya kusaidiwa na sadc wakashinda ila huyu ofisa alifanya kazi kubwa maan wanajeshi aliokuwanao hawakuwa wazalendo kabisa m23 wanawashambulia wao wanajificha ilibidi atumie nguvu za ziada kuwafanya wawe wamoja.

cha ajabu sasa baada ya ushindi wakubwa zake kijeshi wakawa na wivu wakapanga njama na waasi na kumfanyia chambulio la kushtukiza ambapo walivamia msafara wake huko kivu ya kaskazi january 2, 2014 na kulipua gari lake kwa kombora mamaduu akawaka moto na kuteketea hapo ndio ukawa mwisho wa huyu kamanda mzalendo inauma sana. congo ni jihanamu iliyopo duniani
 
Du,mbona Mayele alipigwa shaba mpakani hapo na Uganda wakati yuko mstari wa mbele kuwatoa waganda waliokua wanapita pale kulekea Sudan na wanapora.
Mayele akasimamia battle mpaka kawafikisha mpakani naskia ni Salim Saleh alikuja kummaliza.
Hapana mkuu
Aliuliwa camp tshashi ,pale Kinshasa
 
Mkuu kweli kabisa,niliiona pia hiyo documentary
Wanadai kuwa wakuu wake walimuua,
Yani wanajeshi wa Congo wapo after money na nimatajiri haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…