Mfahamu Jenerali Mayele na anguko la Zaire

Mfahamu Jenerali Mayele na anguko la Zaire

Hivi hapo Mahele alisaliti Nchi au alisaliti Serikali ya Mobutu!?
 
Hivi hapo Mahele alisaliti Nchi au alisaliti Serikali ya Mobutu!?
Alisaliti nchi na serikali ya mobutu
Ni sawa na leo waziri wa ulinzi tz akitoa siri za jeshi kwa maadui wakati wa vita,
 
Ndugu Lucas tunaomba utuletee historia ya Laurent Kabila na harakati zake za kupigania uhuru wa DRC baada ya kifo cha Lumumba
Sawa mkuu,nitaleta
Ila kwa ufupi kabila alikua "lumumbuist" yani mfuasi wa lumumba
 
Alisaliti nchi na serikali ya mobutu
Ni sawa na leo waziri wa ulinzi tz akitoa siri za jeshi kwa maadui wakati wa vita,
Mimi nadhani hakusaliti Nchi ila alisaliti Serikali ya Mobutu.?. Coz Mobutu hakuwekwa Madarakani na Wacongo!
 
Mimi nadhani hakusaliti Nchi ila alisaliti Serikali ya Mobutu.?. Coz Mobutu hakuwekwa Madarakani na Wacongo!
Mkuu
Mobutu aliwekwa madarakani na wacongo kama mara 2
Zilifanyika chaguzi za rais za huru ila hazikua za haki
Yule jamaa aliitisha uchaguzi afu mgombea ni yeye peke ake, alishinda 99%
Na hata alipofanya mapinduzi mwaka 1965 wacongo walifurahi na kumsupport wakampa majina kama "le guide"
 
Back
Top Bottom