Msuluhishi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 248
- 198
Ndugu Lucas tunaomba utuletee historia ya Laurent Kabila na harakati zake za kupigania uhuru wa DRC baada ya kifo cha LumumbaHuenda,
Ukute hata ni mwanae maana Zaire viongozi walipeleka watoto wao jeshini
Alisaliti nchi na serikali ya mobutuHivi hapo Mahele alisaliti Nchi au alisaliti Serikali ya Mobutu!?
Sawa mkuu,nitaletaNdugu Lucas tunaomba utuletee historia ya Laurent Kabila na harakati zake za kupigania uhuru wa DRC baada ya kifo cha Lumumba
Mimi nadhani hakusaliti Nchi ila alisaliti Serikali ya Mobutu.?. Coz Mobutu hakuwekwa Madarakani na Wacongo!Alisaliti nchi na serikali ya mobutu
Ni sawa na leo waziri wa ulinzi tz akitoa siri za jeshi kwa maadui wakati wa vita,
MkuuMimi nadhani hakusaliti Nchi ila alisaliti Serikali ya Mobutu.?. Coz Mobutu hakuwekwa Madarakani na Wacongo!