Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Nakubaliana nawe. Kama ni mali hivyo mbona hajaolewa?Najua mtatupiga ban , Ila tunajua Sana dark side ya huyo Acha Tu tukae kimya , wahuni wamefukua Sana pale , front and back , anyway maisha ni mzunguko
Kama Mwamba Mandonga hujamuweka hii stori inabaki Kama mchongo tuView attachment 2313330
Kabla hajaukwaa Ukuu wa Wilaya, moja ya habari kubwa zaidi kumuhusu Jokate Mwengelo ambayo iliwahi kutikisa bara zima la Afrika, ni pale ambapo jarida bora zaidi ulimwenguni la Forbes lilipomtaja kuwa ni miongoni mwa vijana 30 bora k
unampa sifa ambazo hastahili, amefanya kosa la plagiarism.Kaka umetisha sana,umechambua vizuri.
Kwani kuolewa ndio ishara ya wewe kuwa mali? Mtafanya warembo waolewe ata na kina mzabzab jameni🤣🤣🤣🤣Nakubaliana nawe. Kama ni mali hivyo mbona hajaolewa?
😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 spot on mwananguunampa sifa ambazo hastahili, amefanya kosa la plagiarism.
hii article kai-copy kwenye app ya mange kimambi, iliandikwa wiki kadhaa zilizopita. mwandishi ni ndg. Habibu Anga, hapa JF anafahamika kwa ID maarufu ya The bold.
pongezi zote ziende kwa original author Habibu Anga "The Bold".
Fukua tupate ubuyu. Kwanin upigwe ban.Najua mtatupiga ban , Ila tunajua Sana dark side ya huyo Acha Tu tukae kimya , wahuni wamefukua Sana pale , front and back , anyway maisha ni mzunguko
Jina la wimbo tafadhaliLakini hujasema aliupataje UDC ukaribu wake na bwana yule ulianzaje anzaje baada ya kutimuliwa hamasa, pia hujasema kuwa dogo yule aliyekua kibopa UVkunani alikuwa anataka apite kimasikhara kwa doti baada ya kuchomolewa doti akaundiwa zengwe akasepeshwa hamasa , alafu vile vile hujasema kwa nin yule msanii anayetoa ngoma moja kwa mwaka alimuacha J hujasema msanii yule alivyopigwa biti kama asipoachana na mali yenyewe kitamkuta kitu akaona cha kufia nn? Bora akaoe kwa bwana Jo na msanii ameyasema yote kwenye wimbo wake aliouimba kwa kumix lugha ya bwana Macron na kimatumbi chetu.Ila bwana yule alikua hataki masikhara kabisa na doti kuna mwamba mmoja alikuwa anamzengea kibarua kilimuota nyasi bwana yule alipofanya ziara wilayani hapo...
Watuweke na maisha yao sasa [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo lol.
Kila mtu ana dark sideNajua mtatupiga ban , Ila tunajua Sana dark side ya huyo Acha Tu tukae kimya , wahuni wamefukua Sana pale , front and back , anyway maisha ni mzunguko
Una makengezaKwenye essay yako mbona hujamtaja Alikiba, magufuli na fred vunja bei
Kwann umuhukumu mtu ambae bado ajafika mwisho wa safarii kuolewa Hakuna umri.Aliongoza chama cha wanafunzi wakaenda US akiwa UD, alidate na Domo pia Kiba100 ,alikuwa na brand yake kama KP ikamfia.Baadae akaenda kutangaza Channel O na kutoa single zake hadi na wanigeria.
Alipendwa na mkulu Marehemu na hatimaye kaona ndoa inagoma kaamua kuzaa na Vunjabei. mwanakwaya wetu ana bahati kasoro ndoa
Duh thanks, namimi nna kakidoti kadogoo chini ya jicho, maybeWataalamu wa elimu ya bahati kwa tafiti zao wanadai watu wenye vidoti huwa na mafanikio au kuwa watu wakubwa kwenye Jamii. Yaani wanakuwa na bahati tayari wamezaliwa nayo
Naomba namba yake nimpige swaga nijalibu bahat yangView attachment 2313330
Kabla hajaukwaa Ukuu wa Wilaya, moja ya habari kubwa zaidi kumuhusu Jokate Mwengelo ambayo iliwahi kutikisa bara