Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

View attachment 2313330

Kabla hajaukwaa Ukuu wa Wilaya, moja ya habari kubwa zaidi kumuhusu Jokate Mwengelo ambayo iliwahi kutikisa bara zima la Afrika, ni pale ambapo jarida bora zaidi ulimwenguni la Forbes lilipomtaja kuwa ni miongoni mwa vijana 30 bora k
Kama Mwamba Mandonga hujamuweka hii stori inabaki Kama mchongo tu
 
Kaka umetisha sana,umechambua vizuri.
unampa sifa ambazo hastahili, amefanya kosa la plagiarism.

hii article kai-copy kwenye app ya mange kimambi, iliandikwa wiki kadhaa zilizopita. mwandishi ni ndg. Habibu Anga, hapa JF anafahamika kwa ID maarufu ya The bold.

pongezi zote ziende kwa original author Habibu Anga "The Bold".
 
😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 spot on mwanangu
 
Lakini hujasema aliupataje UDC ukaribu wake na bwana yule ulianzaje anzaje baada ya kutimuliwa hamasa, pia hujasema kuwa dogo yule aliyekua kibopa UVkunani alikuwa anataka apite kimasikhara kwa doti baada ya kuchomolewa doti akaundiwa zengwe akasepeshwa hamasa , alafu vile vile hujasema kwa nin yule msanii anayetoa ngoma moja kwa mwaka alimuacha J hujasema msanii yule alivyopigwa biti kama asipoachana na mali yenyewe kitamkuta kitu akaona cha kufia nn? Bora akaoe kwa bwana Jo na msanii ameyasema yote kwenye wimbo wake aliouimba kwa kumix lugha ya bwana Macron na kimatumbi chetu.Ila bwana yule alikua hataki masikhara kabisa na doti kuna mwamba mmoja alikuwa anamzengea kibarua kilimuota nyasi bwana yule alipofanya ziara wilayani hapo...
Jina la wimbo tafadhali
 
Baada ya kafulila kuzungumziwa mitandaoni kiti chake kikawa baibai.

Napata mashaka huwenda akapewa likizo ndefu ya uzazi kwa kiti chake kupewa mwingine. 👿😈👿😈
 
Hujamalizia zuri la sasa kuwa ni mama kijacho. Mi kama jirani najipanga kupeleka WISHES za baby boy. Naweka namba zangu hapa za mawasiliano anipigie 255655274...004
 
Kwenye essay yako mbona hujamtaja Alikiba, magufuli na fred vunja bei
 
Wataalamu wa elimu ya bahati kwa tafiti zao wanadai watu wenye vidoti huwa na mafanikio au kuwa watu wakubwa kwenye Jamii. Yaani wanakuwa na bahati tayari wamezaliwa nayo
 
Aliongoza chama cha wanafunzi wakaenda US akiwa UD, alidate na Domo pia Kiba100 ,alikuwa na brand yake kama KP ikamfia.Baadae akaenda kutangaza Channel O na kutoa single zake hadi na wanigeria.

Alipendwa na mkulu Marehemu na hatimaye kaona ndoa inagoma kaamua kuzaa na Vunjabei. mwanakwaya wetu ana bahati kasoro ndoa
Kwann umuhukumu mtu ambae bado ajafika mwisho wa safarii kuolewa Hakuna umri.
 
Ina maana hao wanaume wote walioorodheshwa kuwa wamewahi kuwa naye ktk mahusiano walimgegeda?

Kama jibu ni ndio basi itakuwa huyu dada ni mdhaifu sana na anaweza danganywa hata na mume wa mtu akadanganyika na kuliwa kimasihara japo ni DC.

Akemee hilo pepo la udhaifu.
 
Sivii kubwaaa haina faida kwake kama hana hata mtoto mmoja ni bure tuu
 
Wataalamu wa elimu ya bahati kwa tafiti zao wanadai watu wenye vidoti huwa na mafanikio au kuwa watu wakubwa kwenye Jamii. Yaani wanakuwa na bahati tayari wamezaliwa nayo
Duh thanks, namimi nna kakidoti kadogoo chini ya jicho, maybe
 
Back
Top Bottom