Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bwana macron
 
Wataalamu wa elimu ya bahati kwa tafiti zao wanadai watu wenye vidoti huwa na mafanikio au kuwa watu wakubwa kwenye Jamii. Yaani wanakuwa na bahati tayari wamezaliwa nayo
Skin Tag hakuna bahati yoyote
 
Najua mtatupiga ban , Ila tunajua Sana dark side ya huyo Acha Tu tukae kimya , wahuni wamefukua Sana pale , front and back , anyway maisha ni mzunguko
Wewe Dark Side yako mbona huisemi??
Au hadi Connections zako zivuje kwa Mange
 
Inatajwatajwa kuna mchunga kondoo mmoja wa kivatcan alikomba malisho na kwenda nayo kwa huyo kidot, mbona hapo historia imefifishwa?
 
Hongera Mkuu kwa uchambuzi mzuri. ila nahisi aliyeiandika ni Jokate maana kuna vitu vya ndani sana umevielezea. hadi mfano paragraphy hii "
July 28 mwaka 2018. Siku hii jumuiya ilikuwa inafanyika nyumbani kwao Jokate. Jokate akatoka kuwasalimu wana jumuiya kisha akaingia kwenye gari na kuondoka kuelekea kwenye maombi yale anayofanya na rafiki zake kila siku. Akiwa njiani kuelekea kwenye maombi Jokate akapigiwa simu. Alikuwa ni moja ya wale rafiki zake wanao omba pamoja. Alipopokea akamsikia rafiki yake akiwa analia. Alipomuuliza analia nini, rafiki yake akamueleza kwamba, imetangazwa taarifa toka Ikulu kwamba Jokate ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya.

Mshtuko ambao Jokate aliupata, ilibidi apaki geri pembenzoni mwa barabara na kufanya maombi mafupi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa namna hii ya kipekee ambayo alikuwa amejibu maombi na kumfuta machozi. Na tangia hapo historia ya Jokate imebadilika"
 
Kwamba huo uongozi ulitoka mbinguni ?😁 To kitu upate kitu by dada mange
 
Dc kubeba mimba bila ndoa ni uma...ya
 
Duuuuh[emoji849][emoji849]

Wema anatema yai gani kwa mfano???
 



Hapo namba 5. Sijakuelewa.

Kwamba ni mfano wa kuigwa kimaadili? Au una maana gani ?
 
Mambo yote mazuri ya Jokate umeyataja vyema lakini kwenye suala la kupigwa miti umechakachua (umempunja), hii hapa chini ni sehemu ya orodha ya watu maarufu (wanaojulikana) waliowahi 'kumtafuna' Jokate.

1. Hashimu Thabiti
2. Diamond
3. Ally Kiba
4. Reginald Mengi
5. Dr. Charles Kimei
6. Hemmy B
7. Mwana FA
8. AY
9. Mwampamba
10. Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…