Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

Aliongoza chama cha wanafunzi wakaenda US akiwa UD, alidate na Domo pia Kiba100 ,alikuwa na brand yake kama KP ikamfia.Baadae akaenda kutangaza Channel O na kutoa single zake hadi na wanigeria.

Alipendwa na mkulu Marehemu na hatimaye kaona ndoa inagoma kaamua kuzaa na Vunjabei. mwanakwaya wetu ana bahati kasoro ndoa
Mungu hawez kukupa kila kitu,uzuri wote ule lakini majamaa hayana mpango wa kumuweka ndani
 
Amkeni Kumekucha Sasa Jo~Jo Yupo Hewani
 
Babaake alifanyakazi Ubalozini? Watu wa Ubalozini siwamaindi wala nini ***** zao, wanatuchuliaga poa sana wabeba mabox nyau wale. Unajua wakifanyakazi Ubalozini kibongobongo ni matawi ya juu, sasa hata ukikutana nao huku wanakuletea attitude zilezile. Fook y'all, kama mpo humu badilikeni mbuzi nyie, usiniletee mazereu mi nimekuja kwa nauli yangu sijapewa connection na mjomba
 
Yuko vizuri. May Almighty God bless her.
 
Wema Sepetu tatizo ni skendo nyingi sana ambazo zishamuharibia image ya kulamba teuzi serikalini. Laiti angekuwa katulia kwa miaka hata miwili hivi angelamba hata teuzi za idara za vitengo vya ukalimani, maana lile yai analolitema kiukweli hatuwezi kulibeza, anakichapa kiingereza si mchezo.
Kabisa
 
Mheshimiwa Jokate na mheshiniwa MwanaFA Hawa ni Wana usalama Tiss wa ngazi ya juu kabisa. Ni kati ya wachache kitengoni waliyojua kifo Cha Rais Magufuli kabla ya kutangazwa hadharani.
Hata bila u Tiss ni lazima angejua mapema. Kulingana list iliyoorodheshwa. #61
 
Back
Top Bottom