KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Mi sio JokateWewe ndio Jokate? Inawezekana ukawa ndiye maana inaonekana hoja yangu imekukata maini. Pole binti, hayo ndiyo madhara ya umaarufu, ukifanya mambo ya hovyo hovyo lazima jamii itakujadili tu na huwezi kutuzuia.
Ila olewa wewe
Inakuaje mwanaume unafatilia ndoa ya mwanamke asiekujua