Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

Sikufahamu kuwa Rais Kagame nae alisoma UDSM!! Unaweza kuthibitisha mwaka aliohitimu hapo? Nauhakika na Kaguta Rais wa Uganda kusoma Dar lakini Huyu mwingine pengine Monduli!
 
So what, kuzaliwa, US, sio accomplishment, nothing she did, brought that status,
Amefanya nini? Kikubwa kilichomtambulisha ni urembo tu, na kupigwa pipe na Mond&Kiba! Elimu yake ya kawaida, Hana historia hata ya kuendesha NGO, Tangu amekuwa DC, hakuna alichofanya cha maana,ameleta wawekezaji wangapi kutoka huko US alipozaliwa! Kipindi cha panya road, nakumbuka kauli yake, "tutafanya msako,tukikuta mtu mtaani ana " Macho juu juu", huyo tutajua alikuwa anapanga uharifu!
Macho juuu juuu ndio nini? For fucks sake!
Kikubwa alichobadirika tangu uteuzi ni Kupata mimba na Kuzaa, na kuwa single mother,
Hamna kitu pale,
Jokate, Nick wa pili, Gondwe,na Yule aliyekuwa mtangazaji wa clouds, hawana jipya, zaidi ya uchawa tu, hatuoni tofauti kabla na baada ya wao kuteuliwa,
 
Itoshe kusema Jojo alikiwa jirani yangu hapa Temeke. Na jana usiku kwenye ulinzi shirikishi tulimkumbuka wakati wa patrol
 
Mara ya mwisho nilimuona Utawala tukiwa kwenye foleni kuchukua transcript.

Katika watu waliopiga matukio ya hatari pale chuo huyo dada hayupo.
Kuna watu walipiga matukio hostels zote zilizizima hadi ufalme wa giza ulistuka halafu Leo wanavaa suti na walinzi nyuma yao tukikutana tunaishia kucheka tu na kusema eti ule ulikua utoto.

Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema.
 

Alikuwa kwenye prime kabla ya kiba na mondi kuwa nae, inshort wao hawakumuongezea fame in any way , she was already a star kabla yao

Ngoja nikukumbushe

Kulikuwa na Mc gani mkali town kuliko jokate na kuna event gani kubwa ilifanyika pasipo yeye inshort hadi sasa pengo lake halijazibika. Pia jokate ndiye alikuwa moja ya watz wachache kutangaza vituo vikubwa vya nje "Channel O".hiyo sio accomplishment ??..

As an actress ameshapata tuzo ya Ziff kama best Actress

Pia ni moja ya warembo wachache walioonesha uthubutu kibiashara kwa kuanzisha kidoti brand, kwa nywele na viatu hadi akaandikwa na jarida la forbes kama 30 under 30 ya forbes

Ok huko kwenye ukuu wa wilaya, nitajie wakuu wa wilaya waliofanya charity na kujenga shule kupitia influence yao Bila kutegemea serikali. Hata hivyo kabla yake, who gave a damn about kisarawe lakini leo ni touristic spot because of her

Mnaweza mkamchukia ila this lady amejitahidi kutumia spotlight yake positively kuliko watu maarufu na viongozi wengi sana.
 
Amiyn
 
Una akili Sana nshajua ni yeye huyu
 
We ukiolewa inatosha

Every human has a dark side
Cha ajabu nini?
Daah orodha ya wadau waliopita naye inashangaz sana,inamaana hajithamini au Hana msimamo katika angle,kwa jina,exposure na elimu yake hakupaswa kuwa hivyo,zaidi kazalishwa nje ya ndoa,that will cost her political carrier later on,Niko pale

1.Hashim Thabit
2.John Mnyika(Chanzo Cha JoJo-Joket +John)
3.Diamond(Simba la masimba dangoteeee)
4.Zitto kabwe
5.FA
6.Ay
7.Hermmy B
8.Kimei
9.Reginald
10.Uncle
11.Mwampamba
12.Vunja price

Hao ni maarufu na wanaojulikana,sasa je wasiojulikana?Kwenye issue ya maadili akae mbali
 
Tattoo ya wazi kabisa mkononi na shingoni sahau teuzi
 
Hebu uncode" kidogo dogo!
 
🤣🤣🤣🤣🤭🙌🙌
 
Kisa list zenu hazijulikani?
Kwahio watu wazeeke bila watoto kisa hawajaolewa?

Kisiasa if it were to cost her asingeteuliwa KM UWT
Mungu humpa mja amtakaye kuzaa isiwe nongwa
 
Kisa list zenu hazijulikani?
Kwahio watu wazeeke bila watoto kisa hawajaolewa?

Kisiasa if it were to cost her asingeteuliwa KM UWT
Mungu humpa mja amtakaye kuzaa isiwe nongwa
Ni hivi, mwanaume unatakiwa kuingia katika mahusiano yenye malengo,halafu pia sio kila ukitongozwa unakubali hapo inaonekana chawote,ye anachanua tu,kuhusu kupata madaraka ya CCM atushangai,lakin atuwez kumpa madaraka makubwa ya nchi mtu asiyejiheshimu,abadani, uko CCM peaneni tu ndo maana pole pole anasema Kuna wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…