Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

We ukiwa na mahusiano ya malengo inatosha
Wengine waishi maisha yao
 
Tattoo ya wazi kabisa mkononi na shingoni sahau teuzi
Mbona shishi kajitarizi kabisa na matatoo lakini ni balozi wa malaria na aligombea unec?? Hapa bongo hayo mambo ya enzi za mwalimu yamepitwa na wakati, bongo hapatabiriki rait nao

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Hauwezi wewe na nani?
 
Duuh
 
Eeeeh
 
A potential asset ambaye slowly anapoteza nuru because of arrogance

She was the best pale St. Peter’s church , etc

Naona Kama kuna formula anaikosea

Arudi kwa akina mh jenister Mhagama wampe shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…