Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

usipanic mkuu
tuliza akili yako ujifunze
hizi dini zimeletwa, tumezaliwa tukakuta wazazi wetu wako humo. tujifunze tujue kama zina mashiko au ni biashara ya wakubwa na mkubwa wao shetani
 
Sio mchezo hata kidogo.
Ikikupendeza mkuu naomba utushushie na kuhusu Ufunuo 12 pale
 
Unabisha nini Sasa wakati muanzilishi wa usabato ni William Tindale
 
Inawezekana upo sahihi mkuu hili si ndio lile kanisa linalobariki mashoga?
 
Kwahiyo hata nyinyi mnaojifanya mnajua pia hamjui

Mnaendelea kuwadanganya wagalatia wenzenu au pia yawezekana na nyinyi mmedanganywa


Hadi siku Yesu anapaa mbinguni kulikuwa hakuna dini inayoitwa ukristo Wala Yesu mwenyewe hakuwa mkristo

Kama Yesu haujui ukristo inamaana hata wanafunzi wake hawaujui ukristo Wala wale wananchi walikubali na kufuata mafundisho yake hawakuwa wakristo

Utawala wa kirumi Ili waeneze dini Yao ya ukristo ilikuwa hakuna namba zaidi ya kuwauwa wanafunzi wa Yesu na wanazuoni wa Taurati na Injiri na wakafanya hivyo na hatimae wakausimamisha Ukristo

Wewe nani alikuambia Jumapili ni siku ya ibada kama sio warumi
 
usipanic mkuu
tuliza akili yako ujifunze
hizi dini zimeletwa, tumezaliwa tukakuta wazazi wetu wako humo. tujifunze tujue kama zina mashiko au ni biashara ya wakubwa na mkubwa wao shetani
Injili ya kweli ipo na dini ya kweli ipo na Mungu wa kweli yupo kweli kwa asilimia 100 ...mimi siyo mkristo wala muislamu ninaye kuambia hivyo ....tena Mungu yupo hata kisayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…