Mfahamu Kocha Mpya Wa Simba SC, Dylan Kerr


hahahhahahahahhaah,....Vichekesho hivi

Ana malengo na Man U alafu akaja simba?

Vituko hivi
 
Hahaha.. Mkuu Freeland hebu tuanze kumuhukumu huyu fundi agosti ligi ikianza.

Mkuu,Simple mathematics zinakataa

1.Kocha hayuko experienced hasa na mpira wa Africa
2.Kocha mwenyewe hana experience ya kutosha kwenye mpira-Ufundishaji
3.Kocha mpya anaichukua timu mpya mwezi mmoja kabla ya Ligi....
4.Kocha mpya anayelipwa kiduchu kwa sababu ni cheap labour
 
kwa huyu kocha bora Kibaden King angepewa timu

Tatizo la hawa makocha wazawa, wakikabidhiwa timu.. huendeshwa kama rimoti na hua waoga kukemea wakiogopa kutimuliwa. Tofauti na hawa makocha wa kizungu ambao huwa na misimamo mikali, ukimuingilia katika kazi anasepa.. mf. stewart hall wa azam.

Sasa huyu "legend" wetu Abdallah King Kibaden Mputa tulimkabidhi timu misimu kadhaa iliyopita.. matokeo yake kikosi kikawa kinapangwa jukwaani.
 

Hivi waliokuwa wanapanga ni viongozi au mashabiki?
 
Hivi waliokuwa wanapanga ni viongozi au mashabiki?

Ni wote Mkuu.. mashabiki kazi yao kupiga kelele uwanjani, viongozi wanatia nyama kwa kutuma meseji.

Makocha wa kigeni, hawanaga huo upuuzi.. Mf. Maximo, Ndala walikua wakimpgia sana kelele amuanzishe Msuva, lakini yeye alikua akiamini bado hajaiva.

Sasa hapo angekua kocha mzawa, anamuingiza fasta ili kuwaridhisha mashabiki.. hivyo na kuvuruga game plan nzima, matokeo yake timu inapotea.

NB: Mashabiki wana haki ya kutoa maoni.

[Martin Nooij ni Special Case].
 

Kwanini simba hawajamrudisha Kopunovi wakati alishakubaliana na dau lao?
 
If wishes were horses............
 
Kwanini simba hawajamrudisha Kopunovi wakati alishakubaliana na dau lao?

-ada ya usajili alikubali, inshu ikabaki kwenye mshahara ambapo alitaka kulipwa 13.5m, jambo ambalo lilikua gumu.

-alafu pia alionekana kigeugeu.. mara baada ya kuona uwezekano wa kutua azam haupo, ndo akajfanya kushusha dau.
 
Kiukweli huyu kocha hana CV kubwa kama baadhi ya makocha waliowahi kupita Simba mfano Nielsen Elias, Trot Moloto, au waliopita Yanga kama Jean Marie Bonganya, Marcio Maximo, n.k

Lkn wakati mwingine ni bora kuacha muda utoe hukumu sahihi hasa ukikumbuka hata huyu Goran hakupokelewa kwa mbwembwe wala hakuwa na CV la kufa mtu lakini ameondoka kichwa juu.
 


  • La msingi viongozi wamwache kocha afanye kazi yake. Asajili wachezaji na kupanga timu kwa utalaamu wake. Tatizo liko hako. Yanga wameliona hilo na sidhani kama kuna kiongozi anaingilia kupanga timu.
 

Za Akina Hans Pluumj Na Stewart Hall Zinafikia Hata Robo Tatu Yake Tu? Hiyo Ndiyo Simba Sports Club Bhana. Sisi Tunaanza MAPOPOMA Wanafuata.
 
-ada ya usajili alikubali, inshu ikabaki kwenye mshahara ambapo alitaka kulipwa 13.5m, jambo ambalo lilikua gumu.

-alafu pia alionekana kigeugeu.. mara baada ya kuona uwezekano wa kutua azam haupo, ndo akajfanya kushusha dau.

Huyu analipwa sh ngapi?

Kocha wa Yanga analipwa sh ngapi?

Kocha wa Azam analipwa sh ngapi?

Coz lazima ulinganishe na wenzako
 
Za Akina Hans Pluumj Na Stewart Hall Zinafikia Hata Robo Tatu Yake Tu? Hiyo Ndiyo Simba Sports Club Bhana. Sisi Tunaanza MAPOPOMA Wanafuata.
Kwa lipi hasa unaloliona wewe amewazidi akina Hans van Pluijm au Stewart Hall????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…