Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

urudi mwenzangu, umbea umenoga ,nilikuwa sijui kumbe zari ana stashahada ya cosmetology? umeona balaa lake apo juu? kweli wabongo wamuache zari hawamuwezi hata robo, si kwa umalaya wala uzuri wala mafanikio

Hahaaa
Amekamilika kila idara
Anafiti kila sehemu
 
Akili yako ni finyu full wivu, lol so unakunjaga uso na umezeeka duh, lazima unatisha. as haujiheshimu full mdomo mchafu kama full mwili. Eti kusoma mmmh achia hapo maana hauyawezi.

Umeona uso wake umekunjika, mfyuuuuu.

mbumbumbu sikia Zari ni mzuri for her age ila usijidanganye na make ups zake. Mtizame bila make ups na ile miguu iliyokuwa na nyama zilizoenda umri. There's a reason for that.
 
mbumbumbu sikia Zari ni mzuri for her age ila usijidanganye na make ups zake. Mtizame bila make ups na ile miguu iliyokuwa na nyama zilizoenda umri. There's a reason for that.

Mwone hapa....
 
Attachments

  • 1421744472209.jpg
    1421744472209.jpg
    77.2 KB · Views: 356
mbumbumbu sikia Zari ni mzuri for her age ila usijidanganye na make ups zake. Mtizame bila make ups na ile miguu iliyokuwa na nyama zilizoenda umri. There's a reason for that.

Duh wivu mbaya duh unachambua kama vile umewahi shika ngozi yake...

Hasira na mtuvasiyekujua.

Unasikitisha... Kama vile kakuchukulia chako...
 
Back
Top Bottom